Buddy
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 7,117
- 8,885
Poa ndg nimeziona duh !!mbona naona majabu lkn pesa hiyoZoom bab unakuwaje?
Mkuu ziandike basi ww maana simu yang haioneshi badoPoa ndg nimeziona duh !!mbona naona majabu lkn pesa hiyo
Poa ndg nimeziona duh !!mbona naona majabu lkn pesa hiyo
pesa buddy mimi natumia meridian nimezikosa hukuMimi nimejaribu double chance zake ambazo zina Odds 12.24
pesa buddy mimi natumia meridian nimezikosa huku
Katika pita pita zangu kujiandaa na weekend, nimekutana na hizi mechi za hawa waarabu (Kuwait Premier league) na zimenishangaza kidogo. Iweje timu zilizoanza vzr kwenye ligi yao zipewe odds nyingi hivi? ... au kuna mtego ambao sijauelewa?
Nimelazimika kujaribu hii ... wenda Kanji kajisahau systems zake zimeweka odds vice versa ... hahaha
View attachment 417457
Poa poa ndgZipo Meridianbet pia ... check vzr
I really hope hujaweka stake kubwa hapa.
Tuanze na Al Naser v Kazma Fc
Toka waanze kukutana wamecheza game 38. Game 21 kashinda Kazma Fc, 7 wamedraw na game 10 tu ndo Al Naser ameshinda. Toka mwaka uanze game zote ameshinda Kazma Fc kwa 4 -1 na 3 -1. Na kwa miaka mitatu toka 2013 AL Naser kashinda game moja tu. Halafu Kazma Fc yuko on form 5 previous game zake only 1 game katoka draw zingine zote kashinda.
Tuje kwa Al Shabab Kuwait v Al Jahra
Wamecheza game 26. Game 12 kashinda Al Jahra, 8 wamedraw na game 6 tu ndo ameshinda Al Shabab. Toka mwaka uanze wamedraw game moja 2 - 2. And in the past 3 years Al Shabab kashinda game 2 tu.Tumalizie na Al Qadisiya v Al Tadamon
Hawa nao wamecheza game 26. 22 kashinda Al Qadisiya, game 4 tu ndo wametoka draw. And in the past 4 years zote kashinda Al Qadisiya hakukuwa na draw hata moja.So am not saying kwamba labda muhindi hajakosea, just that you should take hizo facts into consideration kabla hamjabet.
References:
Al Qadsia vs. Al Tadhamon - 13 October 2016 - Soccerway
Al Nasar vs. Kazma - 13 October 2016 - Soccerway
Al Shabab vs. Al Jahra - 13 October 2016 - Soccerway
ruvu shooting vs ndanda fc? kama nfio hiyo bado ipo dakika ya 42 mpaka napo maliza kuandika post hiiMechi ya Ndanda imeisha kapigwa goli moja ila cha ajabu ipo meridiani livebet. Kwa mwenye mzigo ajaribu mi nilishakaushwa apa naugulia tu
Mkuu ziandike basi ww maana simu yang haioneshi bado
Thanks for Analysis. Nimebet based on recent form ... which to me matters most. Kama tungefuata history za namna hii kwa Leicester City msimu ulopita tu, ingekuwa balaa sn.
Mimi na-prioritize recent form ahead of H2H.
Mechi imeshamalzika mi nilkua naitazama bana sema tu sina ela. Ndanda wamefungwa goli moja dk ya 70sruvu shooting vs ndanda fc? kama nfio hiyo bado ipo dakika ya 42 mpaka napo maliza kuandika post hii
Mkuu game c imeanza saa 1630 na saivi iko dk 52..ww umeionea wap?Mechi imeshamalzika mi nilkua naitazama bana sema tu sina ela. Ndanda wamefungwa goli moja dk ya 70s
kk usifanye nikaweka mzigo alafu nikaliwa naangalia hapa sofa score game ipo dakika ya 53 na ni 0,0 meridian pia ipo dakika ya 53 bado ni 0,0Mechi imeshamalzika mi nilkua naitazama bana sema tu sina ela. Ndanda wamefungwa goli moja dk ya 70s
ww jamaa fala sanaMechi imeshamalzika mi nilkua naitazama bana sema tu sina ela. Ndanda wamefungwa goli moja dk ya 70s
Mechi imeshamalzika mi nilkua naitazama bana sema tu sina ela. Ndanda wamefungwa goli moja dk ya 70s