Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mechi ya covilha naiona draw ya wazi,wakati sjk leo anaweza akafa mbele ya lahti
 
buddy niigata na sjk wanaweza pata goli 3???


Niigata nina wasiwasi kdg, ukizingatia Hougang sio mrahisi. Geylang vs Warrior hapa 3+ naipa % kubwa kutokea.
SJK vs Lahti ... hapa pia nina wasiwasi (ningejaribu 3+ kwa Ilves vs HIFK)
 
heale.jpg
 
Niigata nina wasiwasi kdg, ukizingatia Hougang sio mrahisi. Geylang vs Warrior hapa 3+ naipa % kubwa kutokea.
SJK vs Lahti ... hapa pia nina wasiwasi (ningejaribu 3+ kwa Ilves vs HIFK)
niigata apate 2-4,geylang 2-4,ilves GG.
APO VP??
 
Leo ni mapumziko,mr wise simuoni na ninasubiri buddy atupie mtoko wa bankocep niongeze na za kwangu.
 
Aiseee hapo unapoteza mpunga kiurahisi.
Las Parma 1x
Toulouse 1x
Mkuu kumbuka monaco yupo moto kweli msimu huu na juzi juzi kampiga mtu 7 bila, ila kwa las parma na espanyol nimefuatilia msimamo ni kweli espanyol ana uwezo mdogo yupo chni ya table karibu na relegation zone.
 
Back
Top Bottom