asrams
JF-Expert Member
- Sep 4, 2011
- 4,798
- 2,656
Okey Mkuu. Mie ntaitoa game ya Toulouse ktk list yangu sitaki game za kuumiza kichwaMkuu kumbuka monaco yupo moto kweli msimu huu na juzi juzi kampiga mtu 7 bila, ila kwa las parma na espanyol nimefuatilia msimamo ni kweli espanyol ana uwezo mdogo yupo chni ya table karibu na relegation zone.