Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Na kuna game ya leeds vs Derby nayo ina odd mlima. Hiyo ya FC Thun ipo league kuu ya switzerland


Nimeona Lausanne kapewa odds kubwa kuliko Thun, wakati Thun anaburuza mkia. Lakini ukiangalia H2H, Thun ni mbabe ... unaweza kujilipua ukampa Lausanne bab.
 
Inplay

chrome_2016-10-14_14-57-21.png
 
Wakuu Mimi nashindwa namna ya ku deposit kwenye m-bet ili nitumie m-bet wallet badala ya tigo pesa au m-pesa
 
Msaada hawa premier wananiambia password inazingua hata kurecover pia email wanaikataa mwenye uelewa juu ya hili anisaidie jamani
 
Back
Top Bottom