Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Samprodia hajafungwa nyumbani msimu huu hiyo game niliiogopa mapema kabisaaa
 
Hii ni rasmi sasa. Juve amenifanya nianze kubet kwa macho kwa wiki yote ijayo.

Nimekimbilia kwenye inplay ambayo Panathinaikos quater ya kwanza vimetoka vikapu 56 nikaangalia second quater wameweka odd 1.88 kwa over 38.5 nikajichomeka mazima kwa kukubali over 38.5.
Sijaamini mpaka muda huu maana vimetoka vikapu 26 peke yake. Nimeamua kupiga bia tu maana KANJI hapendi ujinga
 


Hahaha Mkuu
 
Duuuh .. Kanji anaroga wallah ... goli linapatikana dk ya 90+5 na kuchana kifuta machozi changu ... [emoji134] [emoji134] , walibaki wao tu daaah. So painful ...

 
Zile 30 MZUKA zilizoanza jana zimemalizika, ni team mbili zimeharib tena kwa sabab nilicheza option tofauti ila ngacheza zote 2+ zingetiki
 

Attachments

  • Screenshot_2017-11-19-22-41-49-1-1.png
    20.2 KB · Views: 77
  • Screenshot_2017-11-19-22-41-34-1.png
    45.9 KB · Views: 60
  • Screenshot_2017-11-19-22-41-24.png
    41 KB · Views: 58
Duuuh .. Kanji anaroga wallah ... goli linapatikana dk ya 90+5 na kuchana kifuta machozi changu ... [emoji134] [emoji134] , walibaki wao tu daaah. So painful ...

Pole sana mkuu daaa mi lyon daa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…