Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

1860 munich gg
elche goal in both halves
lazio gg
h.haifa gg
almere city gg
wil goaal in both halves
fc oss gg
jong ajax gg
bolton u21 goal both halves
new castle goal in both halves
ODDS +300
 
1860 munich gg
elche goal in both halves
lazio gg
h.haifa gg
almere city gg
wil goaal in both halves
fc oss gg
jong ajax gg
bolton u21 goal both halves
new castle goal in both halves
ODDS +300

m.bet wajinga kweli awataki kuweka gg pia meridian nikijisajili wananizingua email wamenitumia na link lakini nikibofya wananiambia sijui aipatikani nchini kwangu.
 
Shida ya hawa jamaa huwa kuna meridianbet mbili,kuna ile moja inakuja kwa maandishi sijui ya kirusi na hiyo ni siyo inayotumika hapa tanzania.Ila ile inayofunguka kwa lugha ya kiingereza moja kwa moja ndiyo hiyo inatumika hapa Tanzania

Hiyohiyo ya kingereza mi inanizingua tena nejisajili wakaniambia niangalie email wametuma link nimeangalia nimekuta link lakini majibu yao ni kama hvyo.
 

NZI tunapatikana pia whatsapp maana wengine hapa mpaka washike PC ndio waingie jamii forum.......msg inakaa saa 1 haijachangiwa
 
Last edited by a moderator:
Nataka kesho kutwa nifanye kweli. Nitatupa screen capture saa tisa usiku kabla ya mechi za jtano
 
Hiyohiyo ya kingereza mi inanizingua tena nejisajili wakaniambia niangalie email wametuma link nimeangalia nimekuta link lakini majibu yao ni kama hvyo.

Kama unatumia simu jaribu kubadilisha aina ya browser unayo tumia hata mie niliwah kupata usumbufu ka huo na tumia www.meridian.co.tz usitumie ku google meridianbet.com mara nyingi huwa inakataa.
 
Oya wadau eeh!!hivi hii gg ndo nini?
Then 1000 linawezaje kuzalisha 20000,au 40000?kwa game zipi?
Halafu nataka kujua hivi nini maana ya Handcup?
 
Oya wadau eeh!!hivi hii gg ndo nini?
Then 1000 linawezaje kuzalisha 20000,au 40000?kwa game zipi?
Halafu nataka kujua hivi nini maana ya Handcup?

Gg maana yake kila timu ipate goli.
MF.3_1. 1_1

Kuhusu kuzalisha hicho kiwango tafuta odd 20 au 40

Handcap means timu ifunge nyingine kwa tofauti ya goli 2
 
siamini nimeukosa mkeka wa buku 33 kwa buku 2 kisa Fc Eindhoven.. c bet tena hii timu
 

dah aseeee....hawa man utd sio wakubwa sio wadogo wote viazi vitamu tu....dah nilijua napata mtaji wa weekend
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…