Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

RED STAR FC 93 1.51 LOSE
ARSENAL 1.23 WIN
LIVERPOOL 1.79 WIN
SUNDERLAND 1.84 WIN
HULL CITY 3.00 LOSE
BIRMINGHAM 1.84 WIN

@5000



Naomba mchango wenu wa mawazo.
 
Mbet ni wapumbavu sana,wana weka timu chache sana.mfano leo kuna mech kibao lakini wameweka mechi chini ya 30.afu wanaweka zile ngumu ngumu.optn zenyewe chache.
 
Mbet ni wapumbavu sana,wana weka timu chache sana.mfano leo kuna mech kibao lakini wameweka mechi chini ya 30.afu wanaweka zile ngumu ngumu.optn zenyewe chache.

Meridian nao ni wapuuzi kujiunga kwenyewe wanazingua washenzi kuliko hata m.bet.m.bet kucheza ni raisi sana nivile wao wanamizinguo flani tuu.
 
45mins bet,, arsenal lose, liverpool loose, hull city loose.. 2000 kwa kilo na 90 vipi nitupie huu mzigo..?
 
Jana nimemgonga mwindi japo c sana.
Shukrani ziwaendee
1. Bekistas
2. NEC
3. Benevello(spelling).
Niliweka 500/= nikapata 33200. Opt half time/fulltime. Leo moja ya kazi zangu ni hii.
 
Attachments

  • 1423565112583.jpg
    1423565112583.jpg
    40.1 KB · Views: 134
Mimi nimekaa humo.,
 
Attachments

  • wp_ss_20150210_0003.png
    wp_ss_20150210_0003.png
    33.4 KB · Views: 164
Back
Top Bottom