Lazio jana kaumiza wengi sana
Mbet ni wapumbavu sana,wana weka timu chache sana.mfano leo kuna mech kibao lakini wameweka mechi chini ya 30.afu wanaweka zile ngumu ngumu.optn zenyewe chache.
45mins bet,, arsenal lose, liverpool loose, hull city loose.. 2000 kwa kilo na 90 vipi nitupie huu mzigo..?
ebu nieleweshe ndro no bet ina maana gani?Middlesbrough win
Arsenal win
Bristol win
Southend draw No bet
KAZI KWENU, mtaleta majibu
ebu nieleweshe ndro no bet ina maana gani?
Jamani kuna hawa jamaa wa kufix game
Hebu wa chekin Fwata hiii link http://-------/10yZFB
Fwata hiii link http://-------/10yZFB link alaf ukiona iko poa
Ni private message