Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hii option ina uwezekano mkubw wa kutusua nawashauri wenye mitaji mkubwa wachukue hata timu 4(wasikopi mkeka kama ulivyo) watie fungu then wasubiri kamisheni yao.

naomba ufanunuzi mkuu hapo... 0-3 maana yake na 2-6 maana yake nikatupia 30000 leo kwa timu tano
 
naomba ufanunuzi mkuu hapo... 0-3 maana yake na 2-6 maana yake nikatupia 30000 leo kwa timu tano

0-3 maana yake ni kwamba mechi isizidi goli tatu....yaani matokeo ya mechi jumla ya magoli yatayofungwa yasivuke magoli matatu mfano 0-0, 1-0, 0-1, 2-0, 0-2, 3-0, 0-3, 1-1, 2-1, 1-2 kwa matokeo hayo option ya 0-3 unakuwa umekula

2-6 pia ni kuwa jumla ya magoli yatakayofungwa kwenye mechi yasipungue mawili na hapohapo yasizidi 6.....
nafikiri umeelewa chief....kazi ni kwako
 

asante mkuu naona hii ni tamu kwa kuweka mpunga mwingi
 
Mtoto wa nzi Raimundo xyz123 Rahim_baharia Rockcity native MANGUNGO

Leo mikeka yangu iko hivi baada ga kufatilia kwa muda kiasi

Southend
Luton
Burton
Bristol
Birmingham
Arsenal
Hull
Sunderland
Wycombe




Mwingine huu hapa
Totternham
Derby
Cafdiff
Huddersfield
Sheff
Swindon
Burton
Luton
Southend
Ni hapo tu jamani
 
Last edited by a moderator:
Asali hyo
Algerian division 1
ASM oran vs ASO chlef
Tip; x/1 (half time-full time)

Mechi inaanza saa 12
 
habari yako bwana DEMGOD...! mimi bado sijaelewa hapa kwenye handcap. Kwa mfano kupitia MBET, leo wameweka liverpoo vs+totenahm
Liverpool win 3.09
Liverpool draw 3.52
Liverpool lose 1.69

sasa ikitokea liverpool wameshinda mbili 2-1 au 2-0, 3-2,handcup itakuwa imekubali na hivyo kufanikiwa kushinda pesa zangu.
hull city vs + Aston villa
 
Ningependa tuanzishe group letu whattsap...ili kuwasiliana wote mara nyingi iwezekanavyo.....ushauri tu
 
habari yako bwana DEMGOD...! mimi bado sijaelewa hapa kwenye handcap. Kwa mfano kupitia MBET, leo wameweka liverpoo vs+totenahm
Liverpool win 3.09
Liverpool draw 3.52
Liverpool lose 1.69

sasa ikitokea liverpool wameshinda mbili 2-1 au 2-0, 3-2,handcup itakuwa imekubali na hivyo kufanikiwa kushinda pesa zangu.
hull city vs + Aston villa


 
Last edited by a moderator:

Punguza punguza team ndugu hasa hao championship kisha ongeza stake. leo napumzika mpaka weekend.
 
Last edited by a moderator:
Ningependa tuanzishe group letu wasttsap...ili kuwasiliana wote mara nyingi iwezejanavyo.....ushauri tu

Hii ilishakuja humu zamani sana watu wakapinga
Watu humu IDs zetu zatufanya tusijuane na ndio maana twatumia fake IDs sasa wewe ukishajiweka whatsapp ina maana mtu atajua jina lako halisi kwa tigo pesa, mpesa.
Afu pia humu tuko zaidi ya watu 100, whatsapp mwisho 100 so kuna wengine watakosa uhondo.
Afu pia si wote wanatumia whatsapp au wako whatsapp kuda mwingi.
Hapa twaingia mara chache sana sababu ya shughuli mbali mbali.
Whatsapp huwa zinajaza picha tu kwenye simu zetu hivyo naona ni bora tubakie hapa.
 

Unaonaje tukifanya kwa wale watakao ridhia yani ikawa ni uamuzi wa mtu kujiunga.
 
jaribu hao wa kijani wa5....peke yao...hao wekundu wamejirudia.....game ya derby na ya swindow ni ngumu hizo....kwa mujibu wa takwimu zao wakiwa away...qpr na sunderland lolote linaweza kutokea coz wote wanafight relegation....hull city kwa villa ni game nyeusi..... yote kwa yote ni ushauri tu changanya na hisia zako
 
Hand-cup Via MBET leo nimeweka huu

liverpoo vs+totenahm
Liverpool win 3.09
Liverpool draw 3.52
Liverpool lose 1.69
AF Bournemouth vs +Derby contry
win 4,02
Sunderland vs + QPR
Sun win 3.62
 
Watu tupo kwenye group tayar la betters tunadiscuss kila siku 0759212578 huyo ni group admin mwambie akuad
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…