Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kumbukene kila option ilifanyiwa utafiti wakina nahawa wachezeshaji hii michezo,.
Hakuna vyaibuje..umizakichwa omba unaemiamini.
Kilamtu anabahati.
 
Wadau man city awezi angusha watu?pamoja na PSG na Chelsea? awa ndio wananiumiza kichwa.
 
leo ni hivi hizi mechi magoli yafungwe kuanzia dakika ya 28.....

west brom 28+
wigan 28+
espanyol 28+
newcastle 28+
westham 28+
besiktas 28+

odds 73

kipind cha kwanza wasipofunga na kufunga cha pili hapo utakuwa umekula au?
 
Mimi sasa nadeal na NGUMU KUMEZA. Naweka game 3 afu nayumba nazo kwa mikeka mi4.....

Soon ntamshika
 
kweli ndugu, uzi unaenda vizuri... Baharia vp ile option yako ya 0-10 no goal bado ipo na huwa unaicheza??

Bado ipo c.e.o ni wewe tuu na hela yako. lakini kusema ule ukweli hakuna mchezo rahisi we jaribu bahati yako.
 
Bado ipo c.e.o ni wewe tuu na hela yako. lakini kusema ule ukweli hakuna mchezo rahisi we jaribu bahati yako.

sijui kama meridian washaiwek hyo option. Mi sikuhiz nadili na 2nd half 2+ kidogo inanilipa ods zake huwa ni 1.80 hadi 2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…