Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Jamani mimi naomba msaada jana nilibet kati ya METZ V STADE BRESTOIS 29 kwenye sheet ya freemasee

Nilibet 3-1 yaani metz ashinde lakin kashinda magoli (4-3) kwa penalty AFTER 9O MIN

Je hapa kwenye bet METZ ANAHESABIKA KASHINDA? au timu ikishida kwa penalty after 90 min hawaesabu?

METZ V STADE BRESTOIS 29 walicheza dakika 120 ikawa bila bila ndio wakaingia kwenye matuta METZ AKAFUNGA 4-3


msaada jamani nikale mpunga wa 5M
BAK, @ZE
-dudu, Root, abour naomba msaada wako


 
Last edited by a moderator:
I see mimi naomba msaada jana nilibet kati ya METZ V STADE BRESTOIS 29

Nilibet 3...1 yaani metz ashinde lakin kashinda (4..3) kwa penalty AFTER 9OMIN

Je hapa METZ ANAHESABIKA KASHINDA?

Mkuu naona we ni mgeni kwenye hii industry? Betting ni 90' results, hakuna cha extra time wala hayo mapenaiti, kama ulibet watoke droo ur win.Tahadhari kwako usibet zaidi ya game 3, utaliwa kila siku, halafu barclay premier iogope kama ukoma. Best of luck.
 

Hii web imekuwa hacked au tatizo nini?

mbona haifunguki?
 
Betting ni 90mins only brother,120mins or penalty are not included in betting
 
Mimi sijuwi lolote kuhusu betting. Naomba nifundishwe! Kuna kipindi nilikua nacheza ile ya mbwa na nilikua napata pesa nzuri tu! Nifundisheni na mimi nivune hukoo......

Mkuu unaposema hujui chochote kuhusu betting halafu ukacheza dog racing betting unakuwa unachanganya madesa...

Labda useme hujui chochote kuhusu football betting, basket ama cricket etc....

Btw, karibu sana uwanjani, utafunzwa vyote ..
 
Mpira ni dakika 90+zile chache za nyongeza. Extra time haihusiki.

mkuu habari za asubuhi aisee!

samahani bwana, hivi wewe maximum betting teams kwa m bet huwa unaweka ngapi?

nataka kujifunza kutoka kwa experienced people..

Dau pia huwa unapanga kulingana na odds ngapi?

Naomba funzo hapo!

cc Uduvi n Deo Corleone
 
Last edited by a moderator:
Jamani kumbukeni kuwa kuna kufilisika.
Tufanye kazi.
Huuu uwe mchezo tu wa kujifurahisha
 

Mkuu betting ukitaka uifaidi kila siku, tafuta game mbili au tatu tu za uhakika ambazo zitatoa odds hata 2 kisha tupia mpunga wa kutosha, kesho yake lazima M-PESA lazima isome. Kupoteza kwa mfumo huu ni mara chache sana. Kwa wiki unaweza ukapoteza mara 2 ukawini mara 5. Nb: Ligi ya Uingereza iogope kama ukoma best of luck braza.
 
Last edited by a moderator:

ushaingiza watu chaka....
 

SET YA HALF TIME FULLTIMEINACHEZWA HIVI
1. (1/1) - Ni kwamba timu ya nyumbani kipindi cha kwanza kiishe anaongoza.... na kipindi cha pili pia aongoze.... lugha ni ngymu kidogo.... mfano... mechi ya chelsea na aston villa kipindi cha kwanza kimeisha chelsea anaongoza 1-0.... kipindi cha pili wakatoka 1-1...matokeo ya mwisho yakawa 2-1...kwa maelezo ya SINDANO YA NYUKI ni kwamba (1/1) imekubali wakatihapa inakuwa imegoma...suala ni kwamba KILA KIPINDI ANATAKIWA MWENYEJI ASHINDE ....HUU MFANO WA CHELSEA KWENYE HII SET KICHAA INAKUWA IMEKUBALI CHAGUO LA PILI YAANI (1/X) ili ushinde (1/1) ni kama mechi ya atlectico madrid vs real madrid... kipindi cha kwanza kimeisha atletico kashinda na cha pili pia kasinda....

2. (1/X) ... yaaani we jamaaa utaingiza sana chaka watu.... nilipo highliht unasema kipindi cha kwanza ashinde wa nyumbani afu cha pili wa ugenini asawazishe namechi iishe sare...hicho kitu ni (1/2)....kwamba kipidni cha kwanza kashinda wa nyumbani cha pili kashinda wa ugenini.... mfano... mechi halftime imeisha 1-0 , kipindi cha pili kikaisha 0-1....matokeo yakawa 1-1...kwa maelezo yako unakuwa umekula wakati UMELIWA.....hapo inakuwa first hafl home win second half away win ambayo ni (1/2).... mfano hai....mechi ya nani mtani jembe ...yanga alishinda 3-0 kipindi cha kwanza ...kipindi cha pili simba akashinda 0-3...mechi ikaisha 3-3.... hapo ni (1/2) na sio (1/x)

nikipata mda ntawapa elimu ya kutosha hapa...ila tushaitoa sana kwenye uzi ule wa kule..... ila hili alilojinu sindano ya nyuki....ni bonge la chaka mazeee......please take note....usicheze mchezo usiouelewa...... HAPA MMEINGIWA CHAKA UTASHANGAAA KILA UKIPELEKA TIKETI NIT WINNING TICKET
 
Wazee leo kuna kale kalig ka franc2 me huwa nakahofia sn mana timu zake hazsomekagi drow kwao n km kchaa na jalaa au anaeshka mkia kumfunga anae ongoza wala co jambo la kushangaza.Kwa mtalam wa lig hii msaada wa kuchambua timu tafadhar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…