Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 18,772
- 8,939
kibanga vp kijana naona leo umeonekana. Pole na majanga ya kanjibah
Nipo Ndugu mambo memngi tu, Huyu Muhindi ni noma ila mdogo mdogo tunagawana umasikini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kibanga vp kijana naona leo umeonekana. Pole na majanga ya kanjibah
Chelsea HT: 0-0 duu kuna dalili ya draw hapa
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Ndugu hao Southampton hawadhaminiki watakuchania mkeka, Mimi hapa Chelsea kuna mkeka hapa wanakribia kuchana.
Copy wangu kwa leo derby,leicestr,arsnal,bvb,barca
Umeharibika hehehe utfikiri walikuja kuchungulia forum.Ndugu hao Southampton hawadhaminiki watakuchania mkeka, Mimi hapa Chelsea kuna mkeka hapa wanakribia kuchana.
Hata timu 1 kuchagua ngumu, barca kachana chana mkeka 50 imekwenda, naangalia tv tu
Salalaaaa!! Hata Brisbane roar wanashindwa kufunga??? Asubuhi yoote hii mkeka unachanika
Pole sana mkuu lakini usikate tamaa leo valencia,st.liege,atletico,lazio,Juve pamoja na psg watarudisha pesa yako...
Game 1 kwa siku tu inanitosha hehehe nikipiga game 5 kwa siku 5 naondoka na 200
Kuna game nimelipia wakati zishaanza. Kanjibah kasema atanrudshia mpunga wangu.
Fuata Asali ule Nyuki(Manundu)
B.Munich,Juve,valencia, Lazio,A madrid.