Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

wadaua nasubir benfica ashinde 1st half nile mzigo
hull
napoli
shamrock
psv jong
wote tayari
 
Champions league imerudi leo tena,leteni mikeka tuone..

"Nlikuwepo":bolt:
 
The champiooooooonnsssss!!!
MUFC!! rule yangu sibeti timu yangu 🙄
 
Leo najilipua
schalke wapo hom na wamepewa point 7
na galatasalay nao wamepewa 3
nimewapa haohao imekuja Tsh.25202/=kwa buku,liwalo na liwe tumechoka sasa
 
Leo najilipua
schalke wapo hom na wamepewa point 7
na galatasalay nao wamepewa 3
nimewapa haohao imekuja Tsh.25202/=kwa buku,liwalo na liwe tumechoka sasa

sahv mwendo ndo huo mkeka mmoja wa kujilipua mwingne wa kufuta machozi.. Shalke wapo vizuri sana now na hivi huntler kapona game itakua kali.
 
Back
Top Bottom