Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hii ni mikeka niliyoikweka humu siku ya ijumaa na jumamosi.. Leo ndo nimepata nafasi ya kuangalia kilichotokea nimesikitika sana kukosa mechi moja moja lakini pia nimepata funzo kubwa katika kuchagua options za kuweka kwenye mkeka.
Ukiangalia vyema utagundua tunapoteza sana kwa kubase mno kwenye final scores.. GG ama 3+. Ila kuna vioptions vyenye chance kubwa mno ikiwa tu mtu utakuwa makini. Ingawa vina odd ndogo but matumaini ni makubwa haswa kufanya accumulation.
Waweza pitia na kuangalia kwa lengo la kubadili fikra kwenye namna ya kubeti....
 

Attachments

  • MKEKA 30.png
    73.8 KB · Views: 57
  • MKEKA 31.png
    35.9 KB · Views: 56
msaada tafadhali: mechi zote zilishinda na mbili zikaahirishwa, je sistahili kulipwa?
 
mkuu pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…