Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wewe acha tu, nipo nawaza ningetafuta odds 30 kutoka humu nikaweka 10k
Nilikuwa najishauri nicashout au laah, hatimaye mapilipili ameondoka na stake yote....
ngoja nimsubirie Braga na Sao Paul..nione kama nitarudisha stake zangu kwa siku ya leo
 
IMG_20171203_220923.jpg
 
Buddy hii mechi ya OKC vs SAS kwa nini SAS kapewa odds nyingi ukijumuisha na kiwango alicho nacho dhidi ya opponent wake?
 
NBA Development League
01:00 Iowa Energy v Texas Legends
over 236.5
odd 1.60
 
odds 6

Miami Heat - Golden State
Warriors
(Golden State Warriors Over 115.5
points)
1.80

Oklahoma City Thunder -
San Antonio Spurs
(San Antonio Spurs Over 95.5
points)
1.86

Minnesota Timberwolves -
Los Angeles Clippers
(Los Angeles Clippers Over 100.5
points)
1.81
 
Hapana mkuu...niliweka stake 5000 baada ya mikeka yote kuchanika chanika
 
Back
Top Bottom