Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Leo kwa waliocheza 3+ naona ni siku ya neema kwao. Lots of 3+
Kinachotokea leo sikiamini..kwakweli....Premier bet nimedeposit mara mbili....mpaka sasa....account..imepukutishwa utadhani kideri kimepita
NImekimbilia mkeka bet nikajua cashout yao inaeleweka napo wanakubana...mpaka stake yako wanabeba.....
 
upload_2017-12-3_19-59-58.png


ha ha ha ha ha haaaaaaa leo kidogo nizijaribu hizi kwa 5000
 
Kinachotokea leo sikiamini..kwakweli....Premier bet nimedeposit mara mbili....mpaka sasa....account..imepukutishwa utadhani kideri kimepita
NImekimbilia mkeka bet nikajua cashout yao inaeleweka napo wanakubana...mpaka stake yako wanabeba.....


Duuuh leo ni hatareee, Valencia pamoja na Getafe kulimwa red card dk 25 lkn wamepigwa. Kaaazi kwl kwl mamaeeee
 
Jamani mi ni mgeni wa kubet naombeni mnieleweshe maana ya Odd over 2.5, sjui maana yake jamani cz naona hiyo Kama nzuri make mnaipenda kuitumia.
 
Hii kazi nakwambia hata ujizuie kutokuwa na tamaa km kupigwa utapigwa tu ... Valencia, Celje, Villarreal naona hata DC imewashinda.
 
Timu yakuibetia iliyobaki ni Man city tu kiukweli hawakuangushi
 
Ushauri.. ni cashout au niendelee kusubiria....game zilibaki naona kama zitatoa....
cashout 3.PNG

Mkeka huu...stake 5000 inaleta 500K
og.PNG
 
Back
Top Bottom