Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mamaaaae yaani hapa naiangali tu account yangu siamini kilichotokea mhindi konyo sana mamamamaeeee....
 
Premier bet leo wana tatizo la deposit maana hawaleti ref no
 
***** Valencia mmechana
mkeka wa first half kiaz nyie dha
 
Hakika kipigo hiki mfululizo ni hatari sana ila hatukomi niwatakie kubana kende kwema kwa wale wenye mikeka inayopumua ili angalao mpate chochote tulio poteza tukubali yote ndo biashara ilivyo
 
Leo kwa waliocheza 3+ naona ni siku ya neema kwao. Lots of 3+
 
Timu za La Liga zimebet
Haiwezekani Barca akshindwa afu wanafuata nao vipigo
 
Back
Top Bottom