Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Raha ya hawa jamaa pesa hata saa sita usiku unavuta mpunga, tatizo lao wana options chache ambazo ni ngumu.

Kweli mkuu, mfano first timu to score, 2nd team to score etc. Nawakubali pia kwenye kudepost/kudraw ndani ya mda mfupi unapata kile unachohitaji pia Cashout.
 
FC Copenhagen dhaa *****
1st half umelimwa 2

Kilicho back nikojoe tu nkalale
 
Hahahah ... leo ilikuwa siku ya 2+ ama 3+ kwa kweli, japo chache km Valencia zimezingua hata 2+
Kabsa mkuu Ila ngeweke
2+ hakika Valencia
Nsingemuacha maana
Pia kuna mkeka wa first half over 0.5
Kaharbu yyt Kwa kushindwa kutoa
Gol first half yan cna ham hapa
Hata cjui pakutoa ucngz leo

Aiseee inauma sana mkeka
Kuharibiwa na Tim moja
Kwakweli
 
Kuna kitimu kinaitwa Bari kipo Serie B Italy...kisipotoa GG basi ujue ni over...ukikatuma kanafanya kweli

Hiyo ligi kuna mwingine anitwa Perugia ... safi sn, yani 2+ ni ya kufikia tu.
 
wadau bila shaka ligi ya Brazil leo ndiyo wanafunga ukurasa eeh??

naona Corithians ambaye ndiyo bingwa isipokuwa hajakuwa crowned.....kapewa 7.17 tena hii nimeona mida hii sijui mchana ilikuwaje

me nimempa mazima sidhani kama atakubali apigwe siku ya kukabidhiwa ubingwa....game ya kulalia hii wadau
 
Sasa naye sport recife atapigana kufa kupona ili ashinde hiyo game ili asishuke daraja.
 
Sasa naye sport recife atapigana kufa kupona ili ashinde hiyo game ili asishuke daraja.Pumbafu sana COPENHAGEN.
 
Katika mkeka wangu wa odds 109 bado timu tatu premier wangekuwa na option ya kuturbo ningeshatoa changu zamani maana inawezekana mchawi akapatikana kati ya hawa

Sure mkuu naona, ila Alessandria alifanya kazi ya ziada kuuweka hai huu mkeka maana alilambwa red card mapema kbs. I pray utoboe mkuu ...
Mimi nasikitika kushindwa kuuweka huu mkeka maana mtandao ulikuwa down. Yani nimetoka kukuquote tu hapa nkaingia Princessbet niutupie mtandao ukaanza kuzingua ... kuchagua timu moja kwenda nyingine ilikuwa ni shughuli, nika give up.
 
Wewe acha tu, nipo nawaza ningetafuta odds 30 kutoka humu nikaweka 10k
 
nimebakiza waitaliano tu mambo yawe safi

red-card.png
 
Back
Top Bottom