Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Msaada namna gani mtu anaweza ku deposit mkeka bet leo kwa mara ya kwanza nataka niwajaribu hao jamaa
Namba ya kampuni 238844, kumbukumbu namba ni MKEKA au Namba ya simu uliyojisajilia kwenye kampuni ya mkekabet
 
Namba ya kampuni 238844, kumbukumbu namba ni MKEKA au Namba ya simu uliyojisajilia kwenye kampuni ya mkekabet
Raha ya hawa jamaa pesa hata saa sita usiku unavuta mpunga, tatizo lao wana options chache ambazo ni ngumu.
 
Salama wakuu. Kuna withdraw nilifanya jana kupitia princess bet mpk sasa pesa haijasoma kwa mpesa. Naona wale wadada wa kuchat live nao hawapo. Naombeni msaada kama kuna mwenye namba zao za simu niwatwangie
 
To deposit, follow these instructions:
  1. Make sure you have enough money in your M-pesa account. ...
  2. Select 4 - Pay Bills.
  3. Enter business number - 238844.
  4. Enter the reference number - MKEKABET.
  5. Enter the amount you want to pay (Minimum deposit Tsz 250)
  6. Enter your PIN number.
  7. Then press 1 to confirm.
Mr. Wise
 
kama draw ni inclusive hapo ngoja nikaifanyie kazi hii option




Yani tukichukulia mfano huu ... (Fiorentina vs Sassuolo)

upload_2017-12-3_13-30-21.png


Ukichagua X (odds 1.59) ni kwamba ...

a). Game ikiisha Draw, basi bet is WON
b). Game ikiisha kwa ushindi Home team, means unarudishiwa chako (bet is VOID)
c). Game ikiisha kwa wa ugenini kushinda, means umekula LOSS

Ukichagua Sassuolo (odds 2.08)

a). Game ikiisha Draw, bet is LOST
b). Game ikiisha kwa ushindi wa Home team, means bet is VOID
c). Game ikiisha kwa ushindi wa Away team, means bet is WON
 
Hapana Mkuu, leo asubuhi nilipitia zile "Betting Rules" zote za premierbet lakn hawajafafanua hii option.

View attachment 643015

Ila kwa kutumia reference ya "Draw No Bet", nafikiri wana maana hii ...

a). Home No Bet - tabiri either "Draw" ama wa "Ugenini ashinde", ikitokea wa nyumbani ameshinda basi unarudishiwa chako (i.e. Bet is void)
b). Away No Bet - tabiri either "Draw" ama wa "nyumbani ashinde", ikitokea wa away ameshinda basi bet is void.
Maelezo yako yana ukweli....
home no bet.png
 
Namba ya kampuni 238844, kumbukumbu namba ni MKEKA au Namba ya simu uliyojisajilia kwenye kampuni ya mkekabet
Mkuu kumbukumbu namba inakuaje maneno tena wakati tigopesa napata option ya kuandika namba tu?si maneno hayo "MKEKA"
 
To deposit, follow these instructions:
  1. Make sure you have enough money in your M-pesa account. ...
  2. Select 4 - Pay Bills.
  3. Enter business number - 238844.
  4. Enter the reference number - MKEKABET.
  5. Enter the amount you want to pay (Minimum deposit Tsz 250)
  6. Enter your PIN number.
  7. Then press 1 to confirm.
Mr. Wise
Ninatumia tigopesa Mkuu
 
Back
Top Bottom