Kikinga
JF-Expert Member
- Oct 6, 2015
- 2,098
- 2,002
Anza na 07Okay, hii namba ya simu naweka kwanza country code yani +255 au naanza tu na 0714.....?
Anza na 07Okay, hii namba ya simu naweka kwanza country code yani +255 au naanza tu na 0714.....?
Asante nimefanikisha, je nikitaka kuona slip yangu niliyo place naangalia wapiTo deposit, follow these instructions:
Mr. Wise
- Make sure you have enough money in your M-pesa account. ...
- Select 4 - Pay Bills.
- Enter business number - 238844.
- Enter the reference number - MKEKABET.
- Enter the amount you want to pay (Minimum deposit Tsz 250)
- Enter your PIN number.
- Then press 1 to confirm.
mkeka huu utatupatia majibu nimeupa shilingi elfu moja tu kwa ajili ya researchHapana Mkuu, leo asubuhi nilipitia zile "Betting Rules" zote za premierbet lakn hawajafafanua hii option.
View attachment 643015
Ila kwa kutumia reference ya "Draw No Bet", nafikiri wana maana hii ...
a). Home No Bet - tabiri either "Draw" ama wa "Ugenini ashinde", ikitokea wa nyumbani ameshinda basi unarudishiwa chako (i.e. Bet is void)
b). Away No Bet - tabiri either "Draw" ama wa "nyumbani ashinde", ikitokea wa away ameshinda basi bet is void.
mkuu ukaombe nanafasi ya ukufunzi kwenye vyuo sasa maana sio kwa ufafanuzi huuYani tukichukulia mfano huu ... (Fiorentina vs Sassuolo)
View attachment 643030
Ukichagua X (odds 1.59) ni kwamba ...
a). Game ikiisha Draw, basi bet is WON
b). Game ikiisha kwa ushindi Home team, means unarudishiwa chako (bet is VOID)
c). Game ikiisha kwa wa ugenini kushinda, means umekula LOSS
Ukichagua Sassuolo (odds 2.08)
a). Game ikiisha Draw, bet is LOST
b). Game ikiisha kwa ushindi wa Home team, means bet is VOID
c). Game ikiisha kwa ushindi wa Away team, means bet is WON
Mkuu kumbukumbu namba inakuaje maneno tena wakati tigopesa napata option ya kuandika namba tu?si maneno hayo "MKEKA"
mkuu ukaombe nanafasi ya ukufunzi kwenye vyuo sasa maana sio kwa ufafanuzi huu
Asante sana Mkuu, nilishakamilishaMbona hata kwa Tigopesa inakubali kuandika neno "mkeka" kwenye kumbukumbu namba
![]()
Nipassword yako ya mkeka ndo kumbu noNinatumia tigopesa Mkuu
1. hatua ya kwanzaAsante nimefanikisha, je nikitaka kuona slip yangu niliyo place naangalia wapi
Ndio.No, maana yake no red card
Yes, maana yake kuwepo na red card. Au sio
YeahHiv over 0.5 goals maana yake goli lianzie moja kuendelea ama;???
Huu upo vizuri,ishu ni kuomba tu asitokee mpuuzi yeyote..Uko tayari kwa kulipiwa huu ... km kuna maoni tafadhari.
Huu upo vizuri,ishu ni kuomba tu asitokee mpuuzi yeyote..
Manchester City - West Ham Utd
BTTS Yes
1.91
AC Fiorentina - US Sassuolo
AC Fiorentina
1.52
Hertha BSC - Eintracht Frankfurt
BTTS Yes
1.87
Vitoria BA - Flamengo RJ
Vitoria BA
1.91
SV Zulte Waregem - KAA Gent
SV Zulte Waregem
3.18
FC Thun - Young Boys Bern
BTTS Yes
1.50
Alessandria Calcio - US Gavorrano US
Alessandria Calcio 1912
1.46
Sport Rosario - Juan Aurich de Chiclayo
Sport Rosario
1.52
Odds: 109
Asante sana kiongozi1. hatua ya kwanza
View attachment 643061
2. hatua ya pili
View attachment 643062
baada ya hatua ya pili kushoto kwako zitafunguka betslip zote, utaweza kuona betslip zilizo pending, lost na won