shebydough
JF-Expert Member
- Jun 9, 2016
- 731
- 524
Maana yake kirahisi ni Je iyo game itatoa red card ama haitatoa so Ukisema "Yes" maana yake umesema itakua na red card walau moja, ukisema "No" maana yake umesema iyo game haitakua na red cardHivi hii minimum one red card ina maana gani, nisije kuingia chaka
Mkuu kale ka option ulikaelewa?Mkuu, vita ya uchumi inaendelea ... karibu Chief
Hivi hii minimum one red card ina maana gani, nisije kuingia chaka
No, maana yake no red cardNo REDCARD.
Asante mzee wa busaraMaana yake kirahisi ni Je iyo game itatoa red card ama haitatoa so Ukisema "Yes" maana yake umesema itakua na red card walau moja, ukisema "No" maana yake umesema iyo game haitakua na red card
😀😀😀😀 ili dhahabu iwe safi lazima iyeyushwe kwanza watu tangu 2012 mpaka leo tunakula kwa magepu huku muhindi akipukutisha pesa zetuToka nianze kubet sijawahi kushinda
YeahNo, maana yake no red card
Yes, maana yake kuwepo na red card. Au sio
Mkuu kale ka option ulikaelewa?
Upo sahihi!Hiv over 0.5 goals maana yake goli lianzie moja kuendelea ama;???
kama draw ni inclusive hapo ngoja nikaifanyie kazi hii optionHapana Mkuu, leo asubuhi nilipitia zile "Betting Rules" zote za premierbet lakn hawajafafanua hii option.
View attachment 643015
Ila kwa kutumia reference ya "Draw No Bet", nafikiri wana maana hii ...
a). Home No Bet - tabiri either "Draw" ama wa "Ugenini ashinde", ikitokea wa nyumbani ameshinda basi unarudishiwa chako (i.e. Bet is void)
b). Away No Bet - tabiri either "Draw" ama wa "nyumbani ashinde", ikitokea wa away ameshinda basi bet is void.