Mkeka bet kuna option ya kuturbo?ingia hapo kwenye jina lako click afu utaletewa option nyingi upande wa kulia angalia hiyo ya cashout
mkuu n bora kupata odds chache za uhakika kuliko hizo nyingi zsizo na uhakika mara nyingi wataalam wa gambling wanashaur kuweka walau tim 1 au 2 kwenye mkeka n rahisi kufuatilia na kupata matokeo chanya ila kadri unavyoongeza timu nyingi ndvyo umakini unavyopungua na kupoteza bet kunavyoongezekaSiwezi weka hata kwa odds 5 ila city hapana....
Barca Jana, real jana
ipo ila inaitwa cashoutMkeka bet kuna option ya kuturbo?
Mkuu kokolo lako LA Jana VIP limetiki??Madridsister mpuuzi sanaaa......
View attachment 642899
Kokolo Muhimu kwa afya........View attachment 642900
Hivi jana FCB alikuwa na odds ngapi?mkuu n bora kupata odds chache za uhakika kuliko hizo nyingi zsizo na uhakika mara nyingi wataalam wa gambling wanashaur kuweka walau tim 1 au 2 kwenye mkeka n rahisi kufuatilia na kupata matokeo chanya ila kadri unavyoongeza timu nyingi ndvyo umakini unavyopungua na kupoteza bet kunavyoongezeka
Hapo ndipo umuhimu wa kuweka mkeka wako sehemu salama ya kuturbo unapoonekana kwan km matokeo yapo tofaut mpk dk 70 kwa timu yako n bora ukachukua hata hicho kichache chako kwenda kuanza maisha mapya sehem nyingine kuliko kuendlea kuisubri meli airportHivi jana FCB alikuwa na odds ngapi?
Mkuu nimeiona..... Naweza kuturbo mechi ikiwa inaendelea?ipo ila inaitwa cashout
Hapo ndipo umuhimu wa kuweka mkeka wako sehemu salama ya kuturbo unapoonekana kwan km matokeo yapo tofaut mpk dk 70 kwa timu yako n bora ukachukua hata hicho kichache chako kwenda kuanza maisha mapya sehem nyingine kuliko kuendlea kuisubri meli airport
hukosi, tatizo ni consistency......tu kuna siku lazima kanji aruke na wewe...Hivi kila siku mtu ukiamua kutafuta odds 1.6 unaweza ukazikosa kweli?kwa siku ishirini mfululizo?
nimepata odds 52 humoMadridsister mpuuzi sanaaa......
View attachment 642899
Kokolo Muhimu kwa afya........View attachment 642900
Hapana mkuu, wapuuzi wa huko ujerumani league daraja la kwanza waliuchana mapema....Mkuu kokolo lako LA Jana VIP limetiki??