kamanga2016
JF-Expert Member
- Apr 5, 2016
- 657
- 503
ingia hapo kwenye jina lako click afu utaletewa option nyingi upande wa kulia angalia hiyo ya cashoutNime test kubeti live mkekabet mechi ya schalk 04 lakini imeisha cjaona iyo option
ingia hapo kwenye jina lako click afu utaletewa option nyingi upande wa kulia angalia hiyo ya cashoutNime test kubeti live mkekabet mechi ya schalk 04 lakini imeisha cjaona iyo option
Pole SANA
Na mimi mkuu hii option sijaielewa tusubiri wadau wengine wenye ufahamu nayoView attachment 642679
Buddy koncho77 and all ebu niambieni hii Option kama niko sahihi, mimi nimeelewa kama
Ya kwanza : Home ashinde ikitokea tofauti ( yaani akipigwa ama kudraw) urudishiwe chako
Ya pili : Away ashinde akitokea tofauti (yaani akipigwa ama kudraw) urudishiwe chako
Je niko sahihi, nataka nianze kucheza hako ka option pia sasa cjui kama kako kama kaleka DRAWA NO BET
Kaka nyegere 86 ,du! Leo umenivunja mbavu japo ninamajonzi PSG na Bacca wameondoka na 180000 yangu Mungu angeskia kilio changu angewakosesha ubingwa nyambafu zao.Ingekuwa mikeka ikichanika inatoa milio kama ya Bomu nchi yetu leo ingekuwa na kelele zaidi ya Afghanistan
ingia hapo kwenye jina lako click afu utaletewa option nyingi upande wa kulia angalia hiyo ya cashout
poa mkuu chapa mwendo hapa n mwendo wa kumgonga Kanji tuAsante nimeiona
UmekoseaView attachment 642679
Buddy koncho77 and all ebu niambieni hii Option kama niko sahihi, mimi nimeelewa kama
Ya kwanza : Home ashinde ikitokea tofauti ( yaani akipigwa ama kudraw) urudishiwe chako
Ya pili : Away ashinde akitokea tofauti (yaani akipigwa ama kudraw) urudishiwe chako
Je niko sahihi, nataka nianze kucheza hako ka option pia sasa cjui kama kako kama kaleka DRAWA NO BET
unarudishiwaje mkuu?Umekosea
Home no bet-timu ya nyumbani ikishinda unarudishiwa chako.
Away no bet-kinyume chake.
Source:https://sports.bwin.com/en/news/betting-guide/understanding-bwins-football-betting-markets,2070.html
Kampuni gani inatoa hii option nzuri sanaNashaur km unataka kustake kiasi kikubwa n bora ukaweka tim 1 au ukizidisha 2 mwisho
then unatakiwa kuufuatilia mkeka wako kila baada ya dk chache ili ukiona kama timu yako inaenda kushindwa bora kujiondoa/ku turbo na kuchukua chako japo hata km n kwa kias kidogo
Kweli kabisa mkuu, wengi tumejawa na tamaa tuuBetting ni vilio wanaopata faida huu mchezo hawapo. Tucheze tu kwasababu tunaupenda
Kati ya mechi zaidi ya 800 zinazochezwa leo, mimi leo ngoja nife na hawa wanane ... nataka wanithibitishie km kweli "Direct Win" ni hatari kwa afya. Odds 26.4 mezani
View attachment 642325
Hii game naicheki hapa ni ngumu sana UNDER 2.5 itatoa na si OverMadrid mmmmh
Sioni dalili ya goli hapa mkuu, labda ni draw nyingine hii, kunani huko Spain?Hii game naicheki hapa ni ngumu sana UNDER 2.5 itatoa na si Over