Tuendelee kumwamini. Kuna goli walau moja litapatikana. Instead of 3+Hiyo Mechi ya Real Madrid likipatikana Goli ni Bahati
Goli lipo ila hayazidi mawili...yoyote anaweza fungwa haswa AthleticSioni dalili ya goli hapa mkuu, labda ni draw nyingine hii, kunani huko Spain?
hii game nasubiri isitoe red card nivute mpunga...Goli lipo ila hayazidi mawili...yoyote anaweza fungwa haswa Athletic
Ramos Red Card 86'hii game nasubiri isitoe red card nivute mpunga...
duuh Ramos kiazi sanaRed card hahahahahaha huo mchezo huu
Yani leo nilimsahau kabisa Ramos nikaweka "no redcard" dahhii game nasubiri isitoe red card nivute mpunga...
yaani sijui hata kwangu nilipitiwa vp...ila Ballotel hajatuangusha leo.Yani leo nilimsahau kabisa Ramos nikaweka "no redcard" dah
Hakika Madrid mwakani mkacheze Europa tu....
USIJALI MKUU,CHUKUA HIZI ODDS 2+ ZA UHAKIKA ILI KESHO JUMATATU UAMKE NA 1M+....Leo Nina laki 5 ila Sina hata kitimu kimoja