koncho77
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 7,811
- 10,445
BET WONMilwaukee Bucks -
Sacramento Kings
(Sacramento Kings Over 93.5
points)
1.85
Cleveland Cavaliers -
Memphis Grizzlies
(Cleveland Cavaliers Over 109.5
points)
1.90
Combination Odds 3.5
BET WONMilwaukee Bucks -
Sacramento Kings
(Sacramento Kings Over 93.5
points)
1.85
Cleveland Cavaliers -
Memphis Grizzlies
(Cleveland Cavaliers Over 109.5
points)
1.90
Combination Odds 3.5
Habari za asbuhi wadau, naona majukumu yanaendelea. Nashukuru naendelea kurecover vizuri, hii kitu ni zaidi ya unga
bonyeza namba ya kampuni 238844 ukifuatia kumbukumbu namba MkekaJinsi ya kudeposit mkekabet mjuzi anijuze
Shukrani mkuubonyeza namba ya kampuni 238844 ukifuatia kumbukumbu namba Mkeka
Kumbuka jana timu za Belgium zimefungana sana. Betting ina mgogoro aisee?.Waweza kuta game ya ManCity ikasha kwa handcap draw ya goli moja kwa hiyo timu ya ugeniniUSIJALI MKUU,CHUKUA HIZI ODDS 2+ ZA UHAKIKA ILI KESHO JUMATATU UAMKE NA 1M+....
(1)STANDARD LIEGE VS ROYAL ANTWERP FROM BELGIUM=OVER 2.5 odds=1.91.
MAN CITY VS WESTHAM =OVER 1.5,odds=1.07 bhaaas!
N.B usinisahau 10000 ya mtaji,mwenzio sina,just joking!
Kila la kheri kiongoziShukrani mkuu
Bora tu umeshinda Mkuu..
Hakuna kampuni ya hivyo. Game ilishaanza au ukisha stake mpunga haurudi. Labda mechi ziahirishwe. Lengo ni kula au kuliwa.Kampuni gani inatoa hii option nzuri sana
Big up asee..Baada ya mikeka kadhaa kuchanika nikaweka haka ka backup plan, I am glad kamenitua mzigo wa presha. Hali ilikuwa tete maana leo niliwekeza 70K na 65K ilikuwa imeshakwenda na maji.
Ila huyu Monaco, sio yule tena tuliyemzoea wadau ... amenitia presha toka dk ya 75 nawaza watasawazishiwa.
View attachment 642802
wenzio tupo huku na maisha yanaendlea mkuuHakuna kampuni ya hivyo. Game ilishaanza au ukisha stake mpunga haurudi. Labda mechi ziahirishwe. Lengo ni kula au kuliwa.
Man city,na mwenyewe humuoni?Leo Nina laki 5 ila Sina hata kitimu kimoja
Wewe unaweza well hiyo hela kwa odds za city?Man city,na mwenyewe humuoni?
mimi kwa hiyo hela ningetafuta odds 2 tuu,ila kama wewe unataka odds 10 na zaid,huwezi kumpa city..Wewe unaweza well hiyo hela kwa odds za city?
Mchezo huu unampa faida sana mhindi, ss makabwela tunaumia tu kutokana na tamaa zetu, unaweka jero unataka laki, is it possible? Kila cku tunaliwa lkn hatukomi maana wengi tayari ni addicted na mchezoKweli kabisa mkuu, wengi tumejawa na tamaa tuu