Sarius
Member
- Dec 4, 2017
- 45
- 33
Tangu juzi mkuu sijapewaUnalipwa
Tangu juzi mkuu sijapewaUnalipwa
Zingefutwa ungelipwa, ila zikihairishwa ni mpk zichezweTangu juzi mkuu sijapewa
Mago nakusoma sana, hebu tuwe tunashare hii mikeka, nami ni mfuasi mkubwa sana kama, over 0.5 second half, X in ten mins, both teams to score in first half No, team with most corner, under4.5, double chance first half, under 6.5 corner s in first half etcSijui kwa nini ila nina matumaini makubwa sana ya kumpiga parefu kwa mtindo huu.. Asante sana mkuu ndo mambo ya kanji hayo
Pole sana brother, alipigwa kimojawadau bila shaka ligi ya Brazil leo ndiyo wanafunga ukurasa eeh??
naona Corithians ambaye ndiyo bingwa isipokuwa hajakuwa crowned.....kapewa 7.17 tena hii nimeona mida hii sijui mchana ilikuwaje
me nimempa mazima sidhani kama atakubali apigwe siku ya kukabidhiwa ubingwa....game ya kulalia hii wadau
msaada tafadhali: mechi zote zilishinda na mbili zikaahirishwa, je sistahili kulipwa?
tupo pamojaPole sana brother, alipigwa kimoja
Share nasi huu...tutoe mawazo yetuKudadek zake aruke na hapa nijue kweli ana akili.![]()
Nimeuaga umasikini.
[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
Uko pouw kiongoziKudadek zake aruke na hapa nijue kweli ana akili.![]()
Nimeuaga umasikini.
[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
Mkuu hii kampuni yenye hizo option inaitweje plz naomba unijuze kwa inbox 0759524287 nitashukuru sanaHii ni mikeka niliyoikweka humu siku ya ijumaa na jumamosi.. Leo ndo nimepata nafasi ya kuangalia kilichotokea nimesikitika sana kukosa mechi moja moja lakini pia nimepata funzo kubwa katika kuchagua options za kuweka kwenye mkeka.
Ukiangalia vyema utagundua tunapoteza sana kwa kubase mno kwenye final scores.. GG ama 3+. Ila kuna vioptions vyenye chance kubwa mno ikiwa tu mtu utakuwa makini. Ingawa vina odd ndogo but matumaini ni makubwa haswa kufanya accumulation.
Waweza pitia na kuangalia kwa lengo la kubadili fikra kwenye namna ya kubeti....
Ni kweli,unashangaa umetoa mikeka kumi,8 imetick.Mazee... Timu mbili zikikupa odds 1.5.. Ni faida.... Yaaaaniiii unapoongeza timu mhindi anafurahi kinoma noma
Vipi chief ilikuwje mkeka wako ??Katika mkeka wangu wa odds 109 bado timu tatu premier wangekuwa na option ya kuturbo ningeshatoa changu zamani maana inawezekana mchawi akapatikana kati ya hawa
Timu mbili ziliharibu chiefVipi chief ilikuwje mkeka wako ??