Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Sijui kwa nini ila nina matumaini makubwa sana ya kumpiga parefu kwa mtindo huu.. Asante sana mkuu ndo mambo ya kanji hayo
Mago nakusoma sana, hebu tuwe tunashare hii mikeka, nami ni mfuasi mkubwa sana kama, over 0.5 second half, X in ten mins, both teams to score in first half No, team with most corner, under4.5, double chance first half, under 6.5 corner s in first half etc
 
Pole sana brother, alipigwa kimoja
 
Hiyo ya pili ambayo ipo installed.... Kaisajili kama football predictions lakini unaipata ukiandika statarea.. Install ifungue ni ile ile tu
 

Attachments

  • Screenshot_2017-12-04-18-18-13.png
    46.7 KB · Views: 61
msaada tafadhali: mechi zote zilishinda na mbili zikaahirishwa, je sistahili kulipwa?

Unastahili na utalipwa kwa zile zilizochezwa na ukatabiri sahihi,lakin hyo ni experience kwa baadhi ya kampuni za kuBet sifahamu kama kuna zingine zenye utaratibu tofauti.
 
wadau kuna utofauti wowote wa Draw No Bet na Double Chance..??

hapo kwenye double chance mnielewe vizuri, sio Double Chance ya WIN/DRAW
 
Mkuu hii kampuni yenye hizo option inaitweje plz naomba unijuze kwa inbox 0759524287 nitashukuru sana
 
Katika mkeka wangu wa odds 109 bado timu tatu premier wangekuwa na option ya kuturbo ningeshatoa changu zamani maana inawezekana mchawi akapatikana kati ya hawa
Vipi chief ilikuwje mkeka wako ??
 
NBA leo inavutia hatari natamani nisitishe retirement....Koncho77 na Mtoto nzi nirudisheni uliongoni tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…