Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mbwa wawili wanaharibu mkeka wa odds 109 Buddy

Daaah, unfortunate
Pole sana, wewe ni kama mimi na Buddy kila siku timu moja moja inachana.

Noma sn Chief ... huyo Portimonense mzr sn wa 2+, nashangaa jana sijui kimemtokea nini. Alipiga goli moja dk ya 55 likakataliwa. Anyways, leo nayo ni siku ... natafuta odds 2-3.

upload_2017-12-5_10-30-19.png
 
Dah inauma sana na kutia hasira.

Mkuu hii biashara inabidi uwe na roho ya chuma. Sometimes inakatisha tamaa sn. Mtu unashida na hela halafu timu nyingine zinakuja kuharibu kazi nzr zilizofanywa na timu nyingine.
Halafu ni bora mkeka uchanike kwa timu ya kwanza kwny mkeka sio timu inayocheza mwishoni, huwa inakera sn.
 
Kwakweli nlichofanyiwa na
Valencia cna ham kabsa yan
Bado cjasahau
 
Sana sana hakuna kitu nakichukia kama hicho timu kuharibu mwishoni wakati wengine wameshafanya vizuri
 
Kwakweli nlichofanyiwa na
Valencia cna ham kabsa yan
Bado cjasahau

Tusikate tamaa jembe langu ... tuendelee kumpush huyu fala mpk kieleweke. Tatizo kubwa ni uoga nao. As you know hizi 2+ zinakuwa na odds ndogo ukicompare na 3+ ... sasa jana nikawapa akina Fortuna Sittard (Eerste Divisie) 2+ na wakati walikuwa na uwezekano wa kutoa mkubwa wa kutoa 3+ ... so vi2+ vyangu vikasababisha niwe na timu nyingi kwny mkeka just to amass odds zifike 5 ... pooooooor me.

Saiv nikijiridhisha km kuna possibility kubwa ya 3+ ni bora kufanya hivyo ili mkeka uwe na timu chache kuliko kuwa na timu nyingi za 2+, matokeo yake ndo hayo sasa. Nilitegemea ningepata hela ya kumchangia mshkaji harusi, ndo basi tena ngoja tujaribu leo tena.
 
Back
Top Bottom