Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Samahan wazee hv handcap ina maana gan
Timu inapewa goli la kusadikika,alafu wewe inatabiri matokeo yatakuwaje mwishoni.

Mfano

Arsenal Vs Man u(+1)

hapa man u kapewa goli moja

Kama mpira utaisha 0-0,man u atakuwa ameshinda....kama mpira utaisha 1-0,man u watakuwa wamedraw..

Unafwata hesabu kama hizo..
 
Ushauri wangu kesho Kuna match anbazo hazina faida team zinacheza hazina chakupoteza.ila Kuna must win game Kama ya atletico huku Chelsea anatakiwa aongeze kundi,bayern na psg haina faida hata bayern akishinda hatoongoza kundi may be ashinde kuanzi goal 7+,man United it must win game,Basel lazima watafia uwanjani kupata nafasi Juventus a must win game,sporting Lisbon must win game so tu bet kwa taadhari.bet at your won risk.good luck fellas.wale wenye bahati za ukoo msisahau tips

Bayern anatakiwa kushinda goli 3 hili aongoze kundi, wanangalia head to head. Mechi za leo ni pasua kichwa.
 
Tusikate tamaa jembe langu ... tuendelee kumpush huyu fala mpk kieleweke. Tatizo kubwa ni uoga nao. As you know hizi 2+ zinakuwa na odds ndogo ukicompare na 3+ ... sasa jana nikawapa akina Fortuna Sittard (Eerste Divisie) 2+ na wakati walikuwa na uwezekano wa kutoa mkubwa wa kutoa 3+ ... so vi2+ vyangu vikasababisha niwe na timu nyingi kwny mkeka just to amass odds zifike 5 ... pooooooor me.

Saiv nikijiridhisha km kuna possibility kubwa ya 3+ ni bora kufanya hivyo ili mkeka uwe na timu chache kuliko kuwa na timu nyingi za 2+, matokeo yake ndo hayo sasa. Nilitegemea ningepata hela ya kumchangia mshkaji harusi, ndo basi tena ngoja tujaribu leo tena.
Dhaaaa kweli kabsa mkuu
Yan unakuta unaona kbsa odd ya 1.60
Unaona kbsa inatoa 3+ lkn tunaachana
Nayo na kwenda kuweka odd 1.20
Aiseee uoga wetu tu ndo unatufelisha

Mm nlitegemea Valencia watoe
Gol first half nipate pesa ya kutuma
Bush wapalilie shamba ekar2
Lakin nliambulia patupu yan

Ngoja na leo n kujarbu tena
 
Kama psg watafanya
Ujinga walio fanya last time
Dhid ya Barcelona naweza
Kuwa dharau sana kwakweli
 
Tusikate tamaa jembe langu ... tuendelee kumpush huyu fala mpk kieleweke. Tatizo kubwa ni uoga nao. As you know hizi 2+ zinakuwa na odds ndogo ukicompare na 3+ ... sasa jana nikawapa akina Fortuna Sittard (Eerste Divisie) 2+ na wakati walikuwa na uwezekano wa kutoa mkubwa wa kutoa 3+ ... so vi2+ vyangu vikasababisha niwe na timu nyingi kwny mkeka just to amass odds zifike 5 ... pooooooor me.

Saiv nikijiridhisha km kuna possibility kubwa ya 3+ ni bora kufanya hivyo ili mkeka uwe na timu chache kuliko kuwa na timu nyingi za 2+, matokeo yake ndo hayo sasa. Nilitegemea ningepata hela ya kumchangia mshkaji harusi, ndo basi tena ngoja tujaribu leo tena.
mkuu Seria B na Seria C ya Italy pamoja na ligi ya Israel zinatoa sana goli 2 na 3 fanya uchunguzi kabla ya kuweka bet
 
So hapo man akipgwa mkeka bado utakuwa unaishi?
Uwe unaqoute mkuu ili mtu ajue unaongelea nini..hapo unaangalia difference ya magoli kama arsenal akishinda 2-0,basi matokeo ya mfano wangu wa handcap itakuwa ni 2-1
 
Wakuu hebu jaribuni value bets hizi,eka timu moja moja kila mkeka, stake ndogo tu.
Maana hata timu iwe kilaza vp kupewa 30 odds ili ipate corner saba tu ni offer sio ya kuiacha.
Screenshot_20171205-121219.png
 
Back
Top Bottom