princessbet km una shida yoyote njia rahisi ni kuchat nao pale onlineWakuu naomba ya huduma kwa wateja princessbet
daaah mkuu achaaaaaUchungu naona mie
bigboy usikate tamaa 1dei huyu mbwa atalia kilio sio cha dunia hii.big up xn nimekuwa mfuasi wako daily na paste.
Kaniharibia siku yangu huyu mbururaSio peke akoView attachment 644373
Mbwa wawili wanaharibu mkeka wa odds 109 Buddy
Pole sana, wewe ni kama mimi na Buddy kila siku timu moja moja inachana.
asante mkuuPole sana, wewe ni kama mimi na Buddy kila siku timu moja moja inachana.
Dah inauma sana na kutia hasira.Daaah, unfortunate
Noma sn Chief ... huyo Portimonense mzr sn wa 2+, nashangaa jana sijui kimemtokea nini. Alipiga goli moja dk ya 55 likakataliwa. Anyways, leo nayo ni siku ... natafuta odds 2-3.
View attachment 644428
Dah inauma sana na kutia hasira.
Kwakweli nlichofanyiwa naMkuu hii biashara inabidi uwe na roho ya chuma. Sometimes inakatisha tamaa sn. Mtu unashida na hela halafu timu nyingine zinakuja kuharibu kazi nzr zilizofanywa na timu nyingine.
Halafu ni bora mkeka uchanike kwa timu ya kwanza kwny mkeka sio timu inayocheza mwishoni, huwa inakera sn.
Sana sana hakuna kitu nakichukia kama hicho timu kuharibu mwishoni wakati wengine wameshafanya vizuriMkuu hii biashara inabidi uwe na roho ya chuma. Sometimes inakatisha tamaa sn. Mtu unashida na hela halafu timu nyingine zinakuja kuharibu kazi nzr zilizofanywa na timu nyingine.
Halafu ni bora mkeka uchanike kwa timu ya kwanza kwny mkeka sio timu inayocheza mwishoni, huwa inakera sn.
Kwakweli nlichofanyiwa na
Valencia cna ham kabsa yan
Bado cjasahau
Sana sana hakuna kitu nakichukia kama hicho timu kuharibu mwishoni wakati wengine wameshafanya vizuri
Siku yake yaja atalia na kusaga menoIna boa sn Chief ...