Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Samahan wazee hv handcap ina maana gan
Timu inapewa goli la kusadikika,alafu wewe inatabiri matokeo yatakuwaje mwishoni.

Mfano

Arsenal Vs Man u(+1)

hapa man u kapewa goli moja

Kama mpira utaisha 0-0,man u atakuwa ameshinda....kama mpira utaisha 1-0,man u watakuwa wamedraw..

Unafwata hesabu kama hizo..
 

Bayern anatakiwa kushinda goli 3 hili aongoze kundi, wanangalia head to head. Mechi za leo ni pasua kichwa.
 
Dhaaaa kweli kabsa mkuu
Yan unakuta unaona kbsa odd ya 1.60
Unaona kbsa inatoa 3+ lkn tunaachana
Nayo na kwenda kuweka odd 1.20
Aiseee uoga wetu tu ndo unatufelisha

Mm nlitegemea Valencia watoe
Gol first half nipate pesa ya kutuma
Bush wapalilie shamba ekar2
Lakin nliambulia patupu yan

Ngoja na leo n kujarbu tena
 
Kama psg watafanya
Ujinga walio fanya last time
Dhid ya Barcelona naweza
Kuwa dharau sana kwakweli
 
mkuu Seria B na Seria C ya Italy pamoja na ligi ya Israel zinatoa sana goli 2 na 3 fanya uchunguzi kabla ya kuweka bet
 
So hapo man akipgwa mkeka bado utakuwa unaishi?
Uwe unaqoute mkuu ili mtu ajue unaongelea nini..hapo unaangalia difference ya magoli kama arsenal akishinda 2-0,basi matokeo ya mfano wangu wa handcap itakuwa ni 2-1
 
Wakuu hebu jaribuni value bets hizi,eka timu moja moja kila mkeka, stake ndogo tu.
Maana hata timu iwe kilaza vp kupewa 30 odds ili ipate corner saba tu ni offer sio ya kuiacha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…