Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mechi za UEFA, kwa wale wazee GG, Over 1.5,2.5 tujaribu kuangalia team
1.Hawa wa wawili chini wanagombea kucheza Europa


2.Wanaopigania kuongoza kundi



3.Wanaopigania nafasi ya ku-qualify kama mshindi wa kwanza na wapili




2+, GG hatukosi hapa....zitakazotupa ODD 2+ kwa mechi zote hizo

UBASHIRI WANGU
Barcelona 2+ odd 1.12
PSG BTTS odd 1.40
Man U 2+ odd 1.25
Chelsea 2+ odd 1.30
Total oddd=2.548 ( Princessbet tz)
 
Wakuu hebu jaribuni value bets hizi,eka timu moja moja kila mkeka, stake ndogo tu.
Maana hata timu iwe kilaza vp kupewa 30 odds ili ipate corner saba tu ni offer sio ya kuiacha.View attachment 644454
mkuu, nifefata option yako lakini cha kushangaza slp mbili nimepewa odds4 Tim ni hizo hizo, kambun ni hiyo hiyo na option hiyo hiyo. kwann??
 
Wakuu hakuna mtaalamu wa hawa wachina (Basketball) tuone km tunaweza pata odds 2 za mchana?

 
wakuu kuna mkeka huu nataka lipia marekebisho kama yapo

Chelsea - A.madrid (BTTS)
Barca - S.Lisbon (BTTS)
Bayern - PSG (Over 2.5)
Olympiakos - Juve (BTTS)
Celtic - Anderlecht (1.Celtic)

Jumla Odds 20.6
Byrn vs psg ov2.5 pagumu
 
timu vibonde zipateagoli vipindi vyote viwili. buku tu itakutengenezea laki tano.
kupata kichekesho kingine kama hiki bofya hapa.
 
wakuu kuna mkeka huu nataka lipia marekebisho kama yapo

Chelsea - A.madrid (BTTS)
Barca - S.Lisbon (BTTS)
Bayern - PSG (Over 2.5)
Olympiakos - Juve (BTTS)
Celtic - Anderlecht (1.Celtic)

Jumla Odds 20.6
Naona na Bayern vs Psg BTTS ingependeza
 
[HASHTAG]#IPMBetOfTheDay[/HASHTAG]
⚽️ Bayern Munich vs PSG
Over 3.0 Goal Line
UEFA Champions League
Price: 1.840
3 point stake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…