Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kuna mtu amefanikiwa kuweka hela Meridianbet leo? ... nmeweka hela mpk saiv dk ya 10 bado haijaingia kwa account ... nataka niwadhamini 50K hao
 
Mimi niliweka kwenye saa nne asubuhi na ikaingia muda huo huo. Labda server iko down, maana hawa jamaa kwa server mbovu wako njema sana
 
3fb435e07b583ac510bf677f7729dac5.jpg

Odds 6+
Thank me later
 
Mimi niliweka kwenye saa nne asubuhi na ikaingia muda huo huo. Labda server iko down, maana hawa jamaa kwa server mbovu wako njema sana

Asante mkuu, nimewapigia wakakiri kulikuwa na shida ila nimemaliza kuongea nao tu nkakuta imeshaingia, na nimeshatupia ...
 
Back
Top Bottom