Meridian wapo vizuri sema error zao zinasumbuaOvyo kweli...yani baada ya kuwajaribu ndio nimeamini Premierbet wako vzuri, sjui meridian hao ndio sijawahi wajaribu
Mwenyewe naunga mkono hoja mkuu, kampuni zote sikuacha hata sh 10 kwny acc but leo nmelog in makampuni yte ni premier pekee niliyokuta wameniwekea bonus ya 6k wako poa warekebshe tu withdrawalhakika premier ni premier kweli kweli warekebishe tu ishu ya ku withdraw.
Benfica Lisbon - FC Basel
SL Benfica
2.94
Za buuuuuureeeeeeee usiseme haukuziona hizi
Benfica atakufa na mtu hii game...tusubirie mi nimewadhamini nimewapa ushindiHa ha haaaa Benfica hataki kutoka kapa. Ila Basel ana point 9 kumbuka. Kama atapoteza na Moscow akasuruhu, Basel kabaki..... Na wewe uneshatutahadharisha juu ya Man U so Basel lazima awe serious hapo.
Aiseee mm hapo ngemuuwaBenfica atakufa na mtu hii game...tusubirie mi nimewadhamini nimewapa ushindi
Ngekua na mtaj hapo kwa![]()
Tujaribu hata kama ni Kidogo.
shida nini mkuu![]()
Hawa nao wametoka tu kusifiwa saiz nao hao tena kweli mgema akisifiwa
Sielewi mkuu kila nktaka kusubmit kilago ndo naletewa hyo msgshida nini mkuu