Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Si kwel mkuu nmelog in siyo muda na nkatandaza lami na kusubmit sijadelay mahali
I mean ile wanasema bet close at.... Jana Nilipata kisanga kama hicho. Muda Ulikua ushaisha Angalia mechi zako toa ambayo ipo karibu kuanza
 
00af36bccb55d8e6ea42f4b87d96c377.jpg
timu zenyewe ni hizo mkuu mwenyewe siwaelewi imebid nipumzike tu coz sion sababu ya kufanya hvo labxa kam nao ndo wameanzs mambo ya server error
 
Mkuu nadhani tatzo ilo huja pale unapokua kuna team ktk mkeka wako na wakati game yake imeshaanza so ku solve ni kuiondoa iyo team ktk slip
 
Match zte znaanz saa 22:45 mkuu nafkr tu system yao imeyumba nmefungua version ya desktop imekubali
 
tumia browser ya chrome, hili tatizo huwa linanitokea nikitumia Uc browser. ubaya wa chrome huwa ina refresh Mara kwa Mara so ukichelewa kidogo tu mikeka inafutika ila Uc browser unaweza kaa hata SAA nzima huja'Submit na mkeka wako ukaendelea kuwepo
 
Nafkiri alimaanisha minimum amount you can deposit.

Kudeposit minimum ni 1,000/-
Stake minimum ni 500/-
sawa mkuu

nataka kudeposit naomba namba ya kampuni tafadhali
princess bet
 
funny thing will happen tonight. BARCELONA WILL DRAW & QABARAG WILL WIN. BAYER 2-0PSG.. OLIMPIACOS 0- 2JUVE... GOODNIGHT I SHARED 200 ODDS. OOH? GROUP A. MAN U 2-0 WIN. BASEL DRAW. BYE🙂 THATS 1000 ODDS
 
Barca Leo wapo kama wanatimiza ratiba tu
 
Back
Top Bottom