Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

3fb435e07b583ac510bf677f7729dac5.jpg

Odds 6+
Thank me later
fcdde7adb42c4a209633ba629c069ef1.jpg

Booooooom
Kama ulifata hizi odds 6.8 basi siku yako imeenda vizuri. Lile jini la timu moja kuchana lilisahau kuchungulia huu mkeka [emoji3] [emoji3]
 
Ni rahisi ngamia kaingia katika tundu la sindano kuliko qarabak kupata corners zaidi ya 7, mara nyingi timu zinazo posses sana mpira huwa zinakuwa na corners chache
You were so right..huyo qarabag hajapata hata corner japo moja
Roma Corner 14 yeye 0
 
e82d53db89e3ce713ee918fa6acc88ce.jpg


Haya sasa group hilo hapo wahi mapema kwa wanao bet tu group mahususi hili hapa Gusa link jiunge fasta...



Dhumuni la group ni kusaidiana katika kupanga mikeka ya ushindi Mpaka mhindi ahame Tanzania Fanya kuingia haraka nafasi ni chache sana Bofya link hapo chini..

Mechi za ushindi za leo... [emoji116] [emoji116] [emoji116]


>Real madrid Vs Dortmund
>Liverpool VS Spartak M
>Maribor Vs Sevilla
>Spurs Vs Apoel

unataka kujua ni jinsi gani utaweka mkeka wako fanya kujiunga Fasta...

Mhindi zamu ya kung'olewa Nchini Mpaka akome gusa link wewe ....


NB:unapojiunga Hakikisha una umri wa kuanzia miaka 18 Nakuendelea Pia Utoe ushirikiano wako....
ukimya katika group utatolewa mara moja wahi sasa...

Marufuku kutuma link za magruop ya kipuuzi na Ujinga Humo ni Masuala ya bet tu Na uchambuzi wa mechi [emoji123] [emoji123] [emoji123]

Kama wewe sio mpenzi wa kubet na wala hutaki kusikia kabisa tafadhari pita kushoto usitujazie nzi [emoji123] [emoji123] [emoji123]

pita mbali na hii post kabisa haikuhusu utaumia bure[emoji3] [emoji3] [emoji3]


Team mikeka fanya kugusa link twende tukajinyakulie vitita..

BET MATCH PREDICTION⚽⚽
 
NALALA NA ODDS 3.3

Oklahoma City Thunder -
Utah Jazz
Utah Jazz
(Over 94.5
points)
1.80

Toronto Raptors - Phoenix
Suns
Phoenix Suns
(Over 104.5
points)
1.87
Utah Jazz hovyo kweli, kikapu kimoja tu kinanikosesha pesa hapana aisee ngoja nitulie kwanza kwa wiki moja
 
ODDS 5 STAKE 5000

Luton Town v West Ham United
1
1.64

Gillingham FC v Oxford United
Both Teams to Score - Yes
1.65

Celtic FC v RSC Anderlecht
1
1.85
Sababu ya kupumzika ninayo eti
Celtin nae hapa ananinyima pesa
 
Hii hockey ni wa kibwege sana asee....kwanza mshindi hatabiriki,pili ukiwapa over 4.5 kwa game 3 au 4 taraji kuna mmoja atakurudisha bus....dah ***** walai najuta kuchanganya odds zangu 4 za kikapu na huu upuuzi
 
Sometimes huwa mnapenda kumpa Kanji Pesa Time nyingi zimeshafuzu wanacheza kwa Ku relax kukamilisha ratiba tu

Kwahiyo unatutukana au unatuona mafala au unatushauri nin mkuu?Yani si bora ungesema Poleni au ukae kimya
 
Watu bado wanashnda tangu wajiunge. Tsh 2000 tu kwa wiki nzima , unapata free tip za uhakika na unaunganishwa kwenye group LA BETTING EXPERTS, OPTION NI OVER 2.5 TU, ODD KUANZIA 4 NA KUENDELEA. WATSUP 0673457749.

.Nb HONGERA KWA WALIOSHINDA JANA,
Option nyingine ni offer

Screenshot_2017-12-05-07-51-42.png
Screenshot_2017-12-04-23-53-17.png
 
Back
Top Bottom