Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

nimedeposit pesa Princess Bet mpaka sasa ac inasoma Tsh 0 na game zimeanza huu si upuuzi huu??? bora nirudi zangu Sportpesa japo hawana vioption vingi lakini wako very fast kwenye miamala

nyie wenye experience na princess ndiyo walivyo au mimi tu ndio nimeanza mkosi kwenye hii kampuni??
Itakuwa mtandao tu ulikuwa hovyo wakati huo, lakini wako vizuri muno, yaani hawana rongorongo sema kweli
 
Wakuu leo nataka kuona Bahati yangu iko wapi!

Nina Shida sana na 50000 kwa ajili ya nauli kuna majanga yamenisibu sana na Ndani nina 5000 nakubali hii pesa niitume baadaye kutafuta Odds 9 au 10 ili nipate Nauli.

Naamini nitafanikisha hili (Tuko Pamoja) nikimaliza uchambuzi nitaleta hapa mkeka wangu.

"Hard Way the Only Way"
 
Wakuu leo nataka kuona Bahati yangu iko wapi!

Nina Shida sana na 50000 kwa ajili ya nauli kuna majanga yamenisibu sana na Ndani nina 5000 nakubali hii pesa niitume baadaye kutafuta Odds 9 au 10 ili nipate Nauli.

Naamini nitafanikisha hili (Tuko Pamoja) nikimaliza uchambuzi nitaleta hapa mkeka wangu.

"Hard Way the Only Way"
Mkuu 2nakusubiria Wengine Vichwa Vishapata Moto Kwa Kipigo, Ukiweka Nitag
 
Wakuu, kuna mwenzetu humu Jana katoa ushauri mzuri sana, wakucheza odds 1.5 tu kwa mkeka momja.

Ukiangalia kwa odds hizi 1.5 waweza kuzipata kwa mechi moja au mbili tu.

Sasa, nafikiri ni vizuri tufuate mbinu hii kwa majaribio. Mfano, kama ukicheza kwa 10,000 x 1.5 = 15,000/-. Faida ni 5,000/- hapo.

Aidha, mbinu hii inafaa kwa ote yaani tulio na mitaji kiduchu na wele wenye mitaji mikubwa. Mfano, ukiwa na 50,000/-, tengeneza mikeka yako mitano yenye odds 1.5 kila mmoja bila kurudia timu ktk mikeka hiyo kisha stake kwa 10,000 kwa kila mkeka, mfano:-

Mkeka1, 1.5x10,000=15,000.
Mkeka2, 1.5x10,000=15,000.
Mkeka3, 1.5x10,000=15,000.
Mkeka4, 1.5x10,000=15,000.
Mkeka5, 1.5x10,000=15,000.

Kama mikeka yote ikitiki, utakuwa na faida ya shs 25,000/-. (75,000-50,000).

Faida hii ni kubwa sana kwa mchezo huu. Binafisi, mbinu hii naona inaweza kuwa bora kiasi kuliko kuwa na mkeka wa timu kibao (odds kubwa) alafu uwezekano wa kupata ni mdogo.

Binafisi, naanza kuifanyia majaribio kuanzia Leo.


NB: mrejesho wa mbinu nyingingine ambayo nimewahi kuileta hapa ya kucheza under 2.5 First Half, iko powa. Nimeitumia kwa muda sasa, inatoa sana. Sema udhaifu wake nikwamba, ina odds kiduchu saana kiasi ambacho mpaka upate odds 1.5 tu inakutaka uweke games nyingi. Vinginevyo nayo iko njema kiasi chake. Mwisho, Adui Mkubwa ktk mchezo huu ni tamaa, tukiishinda hiyo twaweza punguza vipigo mfululizo vya kanjibai.

Nawasilisha
 
Utah Jazz hovyo kweli, kikapu kimoja tu kinanikosesha pesa hapana aisee ngoja nitulie kwanza kwa wiki moja


Duuuuh pole sn Chief ... huwezi amini, kikapu kimoja tu ?!!!!!!!!!!!!! kuna uchawi kwny huu mchezo, sio bure mamaeeeeeeeeeeee
grrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
 
odd 6+
upload_2017-12-4_17-20-26.png
 
Habari ya uku wakuu? Leo nimeona niingie umu japo mara nyingi huwa naruka hii thread. Mimi napenda kubet online kwa kutumia mkekabet. Nina tabia ya kubet pia kwenye ile option yao ya jackpot bet ambayo kila wiki kunakua na huo utaratibu kama mara mbili ivi. Team zinakua 13, ukishinda team zote 13 unapiga kwenye 120m ivi, team 12 unapiga 5m, team 11 unapiga 2m na team 10 unapiga 1m. Ila ni lazima ubet team zote 13 na team nyingine tatu za ziada wanazoweka chini kabisa ya mkeka wa jackpot. Team zote 13 za jackpot wanachagua wao na gharama ya kubet kwenye jackpot ni shilingi 1000 kwa kila mkeka wa jackpot utakaotengeneza. Binafsi, naja nimebet kwenye jackpot ila naona mambo sio mabaya. Niliweka mikeka miwili ila naona inaendelea vizuri kwa sababu kwenye mechi 9 zilizochezwa jana, team nane zimeshinda kwenye mikeka yote miwili. Zimebaki team nne nne kwenye kila mkeka, mambo yakienda sawa basi nitamnyoosha mhindi leo usiku. Nitaweka picha apo kuonyesha maendeleo. Vipi wadau, mnaonaje hii jackpot ya mkeka bet?
8b8f530347db46b97512843b71896e18.jpg
cf1a58b64f3142855dd841b0367f4472.jpg
 
Back
Top Bottom