Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

65142a51ee12e77ee30604d74dc86fce.jpg
7a73a6d84664608b3904cab740131f6a.jpg

Nimeangalia Hockey na Football ikabidi nichanganye Hockey na Football nadhani kama mambo yatakuwa vizuri kesho kutwa Safari itaanza (Nimeanza kufua Nguo na kupanga Vitu vyangu)

Tuombeane nipate Nauli.

Hahahah ... all the best mkuu ! ... ngoja nikufuate na 10K Chief.
 
Si mbaya ukachagua mbili tatu.
 
Attachments

  • IMG_20171206_130420.jpg
    IMG_20171206_130420.jpg
    39.6 KB · Views: 39
65142a51ee12e77ee30604d74dc86fce.jpg
7a73a6d84664608b3904cab740131f6a.jpg

Nimeangalia Hockey na Football ikabidi nichanganye Hockey na Football nadhani kama mambo yatakuwa vizuri kesho kutwa Safari itaanza (Nimeanza kufua Nguo na kupanga Vitu vyangu)

Tuombeane nipate Nauli.

Kumbe Premierbet wako juu kwa odds kuliko Princessbet ... hizo selections mimi zimeniletea odds 10.39 na hapo mechi moja ya IceHockey nimewapa Over 5.5 badala ya Over 4.5 km ulivyoweka.

upload_2017-12-6_13-10-6.png
 
Kumbe Premierbet wako juu kwa odds kuliko Princessbet ... hizo selections mimi zimeniletea odds 10.39 na hapo mechi moja ya IceHockey nimewapa Over 5.5 badala ya Over 4.5 km ulivyoweka.

View attachment 645236
Yah zinatofautiana Odds Mkuu ila sio sana, japo kuna muda huwa Princess wako vyema.

Pamoja mkuu Mungu awe nasi kwenye huo Mkeka.
(kwenye mkeka wangu zipo timu 9 lakini kwako naona 7)
 
Habari ya uku wakuu? Leo nimeona niingie umu japo mara nyingi huwa naruka hii thread. Mimi napenda kubet online kwa kutumia mkekabet. Nina tabia ya kubet pia kwenye ile option yao ya jackpot bet ambayo kila wiki kunakua na huo utaratibu kama mara mbili ivi. Team zinakua 13, ukishinda team zote 13 unapiga kwenye 120m ivi, team 12 unapiga 5m, team 11 unapiga 2m na team 10 unapiga 1m. Ila ni lazima ubet team zote 13 na team nyingine tatu za ziada wanazoweka chini kabisa ya mkeka wa jackpot. Team zote 13 za jackpot wanachagua wao na gharama ya kubet kwenye jackpot ni shilingi 1000 kwa kila mkeka wa jackpot utakaotengeneza. Binafsi, naja nimebet kwenye jackpot ila naona mambo sio mabaya. Niliweka mikeka miwili ila naona inaendelea vizuri kwa sababu kwenye mechi 9 zilizochezwa jana, team nane zimeshinda kwenye mikeka yote miwili. Zimebaki team nne nne kwenye kila mkeka, mambo yakienda sawa basi nitamnyoosha mhindi leo usiku. Nitaweka picha apo kuonyesha maendeleo. Vipi wadau, mnaonaje hii jackpot ya mkeka bet?
8b8f530347db46b97512843b71896e18.jpg
cf1a58b64f3142855dd841b0367f4472.jpg
tuna kuombea heri utusue izo zilizo bakia
 
Kumbe Premierbet wako juu kwa odds kuliko Princessbet ... hizo selections mimi zimeniletea odds 10.39 na hapo mechi moja ya IceHockey nimewapa Over 5.5 badala ya Over 4.5 km ulivyoweka.

View attachment 645236
Nilicho kigundua kwa hawa Princess bet kwenye Direct/Normal win ndio hua wana weka Odds kubwa ila uki ingia ndani kwenye options zaid odds zao ni chache

chukulia mfano wa Option ya mechi yoyote
Home win and over 1.5 ya princess
Compare na
Home win & Over1.5 ya Premier utaona
utofaut mkubwa tu Odds twa Princess tuduchu utooo!!!
 
Wakuu, kuna mwenzetu humu Jana katoa ushauri mzuri sana, wakucheza odds 1.5 tu kwa mkeka momja.

Ukiangalia kwa odds hizi 1.5 waweza kuzipata kwa mechi moja au mbili tu.

Sasa, nafikiri ni vizuri tufuate mbinu hii kwa majaribio. Mfano, kama ukicheza kwa 10,000 x 1.5 = 15,000/-. Faida ni 5,000/- hapo.

Aidha, mbinu hii inafaa kwa ote yaani tulio na mitaji kiduchu na wele wenye mitaji mikubwa. Mfano, ukiwa na 50,000/-, tengeneza mikeka yako mitano yenye odds 1.5 kila mmoja bila kurudia timu ktk mikeka hiyo kisha stake kwa 10,000 kwa kila mkeka, mfano:-

Mkeka1, 1.5x10,000=15,000.
Mkeka2, 1.5x10,000=15,000.
Mkeka3, 1.5x10,000=15,000.
Mkeka4, 1.5x10,000=15,000.
Mkeka5, 1.5x10,000=15,000.

Kama mikeka yote ikitiki, utakuwa na faida ya shs 25,000/-. (75,000-50,000).

Faida hii ni kubwa sana kwa mchezo huu. Binafisi, mbinu hii naona inaweza kuwa bora kiasi kuliko kuwa na mkeka wa timu kibao (odds kubwa) alafu uwezekano wa kupata ni mdogo.

Binafisi, naanza kuifanyia majaribio kuanzia Leo.

NB: mrejesho wa mbinu nyingingine ambayo nimewahi kuileta hapa ya kucheza under 2.5 First Half, iko powa. Nimeitumia kwa muda sasa, inatoa sana. Sema udhaifu wake nikwamba, ina odds kiduchu saana kiasi ambacho mpaka upate odds 1.5 tu inakutaka uweke games nyingi. Vinginevyo nayo iko njema kiasi chake. Mwisho, Adui Mkubwa ktk mchezo huu ni tamaa, tukiishinda hiyo twaweza punguza vipigo mfululizo vya kanjibai.

Nawasilisha
Duh. Hii kitu naanza nayo Leo
 
Daaaah, aiseee ... huu mchezo unatakiwa uwe na roho ya chuma yani. Halafu una shida ya hela ndo inakutokea hiyo. Hizi timu zingekuwa zinajua kuwa tunaweka hela zetu, wasingekuwa wanafanya us***ge wa namna hii. Quarter nzima unacheza vikapu 14 tu !!!!!
Inakera sn
Pole sana mkuu, umenikumbusha match ya OkC na SAS juzi yanii quarter zote wameenda vizuri nikajua hapa deal done kuja baada nakuta last quarter kila mmoja kafunga vikapu 14 tu [emoji35] [emoji35]. Nikawa disappointed [emoji26] sana siku yangu ikavurugika [emoji22]
Daaaah, aiseee ... huu mchezo unatakiwa uwe na roho ya chuma yani. Halafu una shida ya hela ndo inakutokea hiyo. Hizi timu zingekuwa zinajua kuwa tunaweka hela zetu, wasingekuwa wanafanya us***ge wa namna hii. Quarter nzima unacheza vikapu 14 tu !!!!!
Inakera sn
 
Habari ya uku wakuu? Leo nimeona niingie umu japo mara nyingi huwa naruka hii thread. Mimi napenda kubet online kwa kutumia mkekabet. Nina tabia ya kubet pia kwenye ile option yao ya jackpot bet ambayo kila wiki kunakua na huo utaratibu kama mara mbili ivi. Team zinakua 13, ukishinda team zote 13 unapiga kwenye 120m ivi, team 12 unapiga 5m, team 11 unapiga 2m na team 10 unapiga 1m. Ila ni lazima ubet team zote 13 na team nyingine tatu za ziada wanazoweka chini kabisa ya mkeka wa jackpot. Team zote 13 za jackpot wanachagua wao na gharama ya kubet kwenye jackpot ni shilingi 1000 kwa kila mkeka wa jackpot utakaotengeneza. Binafsi, naja nimebet kwenye jackpot ila naona mambo sio mabaya. Niliweka mikeka miwili ila naona inaendelea vizuri kwa sababu kwenye mechi 9 zilizochezwa jana, team nane zimeshinda kwenye mikeka yote miwili. Zimebaki team nne nne kwenye kila mkeka, mambo yakienda sawa basi nitamnyoosha mhindi leo usiku. Nitaweka picha apo kuonyesha maendeleo. Vipi wadau, mnaonaje hii jackpot ya mkeka bet?
8b8f530347db46b97512843b71896e18.jpg
cf1a58b64f3142855dd841b0367f4472.jpg
All the best! Hapa ukipatia 2 na kuendelea nadhani kuna mgao utakuhusu
 
Daaaah, aiseee ... huu mchezo unatakiwa uwe na roho ya chuma yani. Halafu una shida ya hela ndo inakutokea hiyo. Hizi timu zingekuwa zinajua kuwa tunaweka hela zetu, wasingekuwa wanafanya us***ge wa namna hii. Quarter nzima unacheza vikapu 14 tu !!!!!
Inakera sn
Inatia hasira sana sana sana
 
[12/6, 13:54] godlisten edwin: *Booking Number:63Z7QL9*
_Other Sports_

Happek, Sven - Szudi, Adam
2HH 1.13

PGE Skra Belchatow - Chaumont 52
1HH 1.12

Volley Amriswil - Omonia Nicosia
1HH 1.19

Jastrzebski Wegiel - Berlin RV
1HH 1.21

Jedinstvo Bemax Bijelo Polje - SK Posojilnica Aich/Dob
2HH 1.10

BK Valmiera - Pieno Zvaigzdes
2HH 1.13

PP TV Raj Zilina - BK Iskra Svit
2HH 1.10

Bakken Bears - BC Nevezis
1HH 1.25

Liaoning Flying Leopards - Beijing Ducks
1HH 1.13

Renard, Lucas - Garanganga, Takanyi
2HH 1.18

Goveas, Aryan - Kadhe, Arjun
2HH 1.18

Rosca, Andreea Amalia - Arshinkova, Petia
1HH 1.19

Adler, Lou - Hoedt, Merel
1HH 1.19

Total Odds: 6.94
[12/6, 13:54] godlisten edwin: *FREE TIPS*

*63ZRKJ7*

UEFA Youth League

Real Madrid U19 - Borussia Dortmund U19
*Over(2.5)*

Isthmian Football League, Premier Division

Leatherhead - Thurrock
*Over(1.5)*

Primera Division Femenina

Espanyol - Atl. Madrid
*2*

UEFA Champions League

Tottenham - Apoel Nicosia FC
*1X & Ov(1.5)*

*ODD 2.14*

*TEAM KENZY*✍
[12/6, 13:55] godlisten edwin: UEFA Champions League
Liverpool - FC Spartak Moscow
1 & Over(1.5)
1.35

UEFA Champions League
FC Shakhtar Donetsk - Manchester City
X2 & Ov(1.5)
1.80

UEFA Champions League
FC Porto - Monaco
1X & Ov(2.5)
1.76

UEFA Champions League
Real Madrid - Borussia Dortmund
1X & Ov(2.5)
1.50

5+ odds

Hlp with d booking
[12/6, 13:55] godlisten edwin: Champions league
Liverpool v spartak Moscow
Tip (0 3)[email protected]

Feyenoord v Napoli
Tip (3 0)[email protected]

Shakhtar Donetsk v Man city
Tip [email protected]

Real Madrid v Dortmund
(0 3)[email protected]

Leipzig v besiktas
Tip (0 3)[email protected]

Code 63zdgvp
Odds 4.15
Prof

[12/6, 13:55] godlisten edwin: IRAN
Sepidrood Rasht - Persepolis FC

2

UCL YOUTH
Real Madrid U19 - Borussia Dortmund U19

Over 2.5

TUNISIA
US Monastir - ES Metlaoui
1X

ES Sahel - US Ben Guerdane

Over 1.5

2+

*HORUS *
[12/6, 13:59] godlisten edwin: 63ZVYCV
10 odds
Porto - Monaco
Over Away(0.5)
Real Madrid - Borussia Dortmund
Over Away(0.5)
FC Shakhtar Donetsk - Manchester City
Over(1.5)
Liverpool - FC Spartak Moscow
HSBH
Farnborough - Gosport Borough
1
VSG Altglienicke - Energie Cottbus
Over(1.5
VfL Alfter - Bergisch Gladbach
Over(1.5)
 
Back
Top Bottom