Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,834
- 40,641
88 Rayo Vallecano W 4 - 2 Valencia W
odd 6+ bet won
88 Rayo Vallecano W 4 - 2 Valencia W
Kina chotakiwa ni goal tu mkuu,haijalishi idadi ukiona goal limeingia first half then una subiri second half yaingia mawili hate yakiingia kumi wanachotaka no moja 1 2 second halfnaona kama ni ngumu sana
Itakuwaje kama cha kwanza yakipatikana mawili alafu cha pili moja.... net lost???
Acha tu mkuu na mimi hivyo hivyo mambo mabaya sana mkuu
umesomeka chief [emoji106]Kina chotakiwa ni goal tu mkuu,haijalishi idadi ukiona goal limeingia first half then una subiri second half yaingia mawili hate yakiingia kumi wanachotaka no moja 1 2 second half
mkuu bet won big up xn nilikapaste kama kalivyo sema kastake nilibana
nikikuambia mpk sasa hawajaniingizia pesa utaamini?Itakuwa mtandao tu ulikuwa hovyo wakati huo, lakini wako vizuri muno, yaani hawana rongorongo sema kweli
haina noma tuko pamojamkuu bet won big up xn nilikapaste kama kalivyo sema kastake nilibana
Asante mkuu sema nimejilipua nasubiri kuona kama nitasafiri.
ene singi can hapeniNGOJA NIJARIBU HUKU LEO
View attachment 645347
Weka nyumba uone KANJI asivyopendaga ujingawadau wa 2+ 3+ nimelipata chimbo linatoa goli vibaya....Ligi ya Spain Wanawake, mechi zote za leo zimetoa goli 3 na mpaka sasa ni halftime Barcelona anaongoza 2-0
FURSA
haina noma tuko pamoja
hahahahhaWeka nyumba uone KANJI asivyopendaga ujinga
Karibu sana jukwaani Mkuu, naona ume join leo JF....ila ilo jina lako tu usije ghafla ukaanza kutangaza matangazo kua unauza Odds humu ha ha ha haa haaaaaOdds 2.05View attachment 645389
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Au ajaribu kuweka Laki Moja hata kwa Timu Mbili tu azipe 3+ aoneWeka nyumba uone KANJI asivyopendaga ujinga