Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Jamanieee msaada nimesajili premier lkn nikilog in naambiwa account not activated lkn kwenye email yangu sijapata ujumbe wowote kutoka primier
kama iyo Email huoni kweny inbox cheki spam mail hua zina ingia uko so click link uliyo tumiwa ili uactivate A/C yako
Jamanieee msaada nimesajili premier lkn nikilog in naambiwa account not activated lkn kwenye email yangu sijapata ujumbe wowote kutoka primier

Jamanieee msaada nimesajili premier lkn nikilog in naambiwa account not activated lkn kwenye email yangu sijapata ujumbe wowote kutoka primier

Aisee nimefungua email niliyosajilia yaan sijaona ujumbe wowote kutoka premier bet sijui nifanyeje sasa

Aisee nimefungua email ambayo nimesajili sijaona ujumbe wowote kutoka primier bet
 
mjiokoteage vitimu apao..
 

Attachments

  • Screenshot (74).png
    Screenshot (74).png
    11.1 KB · Views: 36
SLOT 4

Liverpool FC - FC Spartak Moscow
Liverpool FC (Handicap 0-1)
1.51

NK Maribor - Sevilla FC
FC Sevilla (Handicap 1-0)
1.80

Odds 2.72
 
Wakuu, kuna mwenzetu humu Jana katoa ushauri mzuri sana, wakucheza odds 1.5 tu kwa mkeka momja.

Ukiangalia kwa odds hizi 1.5 waweza kuzipata kwa mechi moja au mbili tu.

Sasa, nafikiri ni vizuri tufuate mbinu hii kwa majaribio. Mfano, kama ukicheza kwa 10,000 x 1.5 = 15,000/-. Faida ni 5,000/- hapo.

Aidha, mbinu hii inafaa kwa ote yaani tulio na mitaji kiduchu na wele wenye mitaji mikubwa. Mfano, ukiwa na 50,000/-, tengeneza mikeka yako mitano yenye odds 1.5 kila mmoja bila kurudia timu ktk mikeka hiyo kisha stake kwa 10,000 kwa kila mkeka, mfano:-

Mkeka1, 1.5x10,000=15,000.
Mkeka2, 1.5x10,000=15,000.
Mkeka3, 1.5x10,000=15,000.
Mkeka4, 1.5x10,000=15,000.
Mkeka5, 1.5x10,000=15,000.

Kama mikeka yote ikitiki, utakuwa na faida ya shs 25,000/-. (75,000-50,000).

Faida hii ni kubwa sana kwa mchezo huu. Binafisi, mbinu hii naona inaweza kuwa bora kiasi kuliko kuwa na mkeka wa timu kibao (odds kubwa) alafu uwezekano wa kupata ni mdogo.

Binafisi, naanza kuifanyia majaribio kuanzia Leo.


NB: mrejesho wa mbinu nyingingine ambayo nimewahi kuileta hapa ya kucheza under 2.5 First Half, iko powa. Nimeitumia kwa muda sasa, inatoa sana. Sema udhaifu wake nikwamba, ina odds kiduchu saana kiasi ambacho mpaka upate odds 1.5 tu inakutaka uweke games nyingi. Vinginevyo nayo iko njema kiasi chake. Mwisho, Adui Mkubwa ktk mchezo huu ni tamaa, tukiishinda hiyo twaweza punguza vipigo mfululizo vya kanjibai.

Nawasilisha
Nimeanza majaribio ya mbinu niliyoileta hapa mapema Leo asbh.

Madrid v BvB over 2.5 (1.34)
Liverpool v Moscow 1X (1.14)
Jumla ya odds ni 1.539
Stake ya 10,000/-
19e67efd47f495562e69628c6c57fdb6.jpg
 
Back
Top Bottom