Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Jamani hebu nisaidieni hapa nimejisajili primier bet lakini nikilog in naambiwa account not activated vp hapo nifanyeje?
Nenda kwenye email uliyosajilia kuna message wamekutumia ifungue ubonyeze link kisha uiactivate.

Asante
 
MAKOROKOCHO TEST
Screenshot 2017-12-06 21.37.23.png
 
Jamanieee msaada nimesajili premier lkn nikilog in naambiwa account not activated lkn kwenye email yangu sijapata ujumbe wowote kutoka primier
 
Brother! usijaribu tena kucheza normal kwenye haya makorokocho yanayoitwa hockey. Bora ulilipue kwenye overs 5.5 hasa hasa zile za ukanda wa marekani na canada zinazoanza kuanzia saa sita za usiku na kuendelea hadi asubuhi
Ushauri mzuri sana yaani akicheza Normal ni hatari kuliko Sisiemu bora acheze magoli 4+ kuendelea.
 
Back
Top Bottom