Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu leo nataka kuona Bahati yangu iko wapi!

Nina Shida sana na 50000 kwa ajili ya nauli kuna majanga yamenisibu sana na Ndani nina 5000 nakubali hii pesa niitume baadaye kutafuta Odds 9 au 10 ili nipate Nauli.

Naamini nitafanikisha hili (Tuko Pamoja) nikimaliza uchambuzi nitaleta hapa mkeka wangu.

"Hard Way the Only Way"

Mkuu, leo Man City anacheza, sasa odds kapewa nyingi sana kwenye mkeka bet. Sijajua ataweka kikosi dhaifu kiasi gani, ila naona kama bado wana upepo sana na kikosi chao ni kipana. Odds za UCL izo apo chini.
IMG_1512545913.117382.jpg
 
Mkuu, leo Man City anacheza, sasa odds kapewa nyingi sana kwenye mkeka bet. Sijajua ataweka kikosi dhaifu kiasi gani, ila naona kama bado wana upepo sana na kikosi chao ni kipana. Odds za UCL izo apo chini.View attachment 645178
Man city ameshafuzu...na amejihakikishia nafasi ya kwanza..kwenye group...hata akifungwa hii mechi....pili .weekend ana derby
 
Man city ameshafuzu...na amejihakikishia nafasi ya kwanza..kwenye group...hata akifungwa hii mechi....pili .weekend ana derby

Hapo ndipo inapokuja changamoto. Iyo match ina changamoto kama ile ya jana, Bayern na PSG. Napoli anampumulia shakhtar, yani wakizingua tu kwenye iyo match wanaenda nje.
 
Alaaa, naomba Kwanza mnipe ofa then nikishinda nijiunge na group lenu rasmi!
 
Duuuuh pole sn Chief ... huwezi amini, kikapu kimoja tu ?!!!!!!!!!!!!! kuna uchawi kwny huu mchezo, sio bure mamaeeeeeeeeeeee
grrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
Imeniuma sana chief kikapu kimoja kimeninyima laki moja faida ikiwa 70k dah akaunti imebakiwa na 2k tu
 
Imeniuma sana chief kikapu kimoja kimeninyima laki moja faida ikiwa 70k dah akaunti imebakiwa na 2k tu


Daaaah, aiseee ... huu mchezo unatakiwa uwe na roho ya chuma yani. Halafu una shida ya hela ndo inakutokea hiyo. Hizi timu zingekuwa zinajua kuwa tunaweka hela zetu, wasingekuwa wanafanya us***ge wa namna hii. Quarter nzima unacheza vikapu 14 tu !!!!!
Inakera sn
 
Back
Top Bottom