spinderella
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 1,393
- 1,905
Sawa nimekupata mpaka hapo.kuna matokeo matatu tu kwa mtu anae anza kama wewe
1, x, 2
1-timu inayo cheza uwanja wa nyumbani ishinde
x-zitoke sare iwe ya 0-0, 1-1 n.k
2-timu inayocheza uwanja wa ugenini ishinde
swali ni je kama wote wanacheza ugenini? majibu ni hayo hayo tu ushindi droo ushindi.
wengine watakuja kuendelea