Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 22,496
- 51,721
humu ni kutabiri/kubashiri matokeo baada ya dakika tisini za mchezo(mpira wa miguu)Asantr Q, nipe somo basi.
kuna michezo mingi kama mpira wa kikapu, tenisi, hockey, na mingine mingi kwa kuanza tu wewe unapendelea mchezo gani ili upate ushauri kulingana na mchezo wako