Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

7a384ad0f8f893c348911c191e7edcf1.jpg

Na huu ukichanika,nitamnyoeshea kanji mikono..
Ungekua bado haujaweka pesa ningekushauri uiweke hapa, maana nina wasi wasi na uyo Arsenal hapo

Villarreal CF - Maccabi Tel Aviv
1/X
1.20

1899 Hoffenheim - Ludogorets Razgrad
TSG 1899 Hoffenheim (Handicap 2-0)
1.19

Hertha BSC - Ostersunds FK
Hertha BSC Berlin (Handicap 2-0)
1.07

SV Zulte Waregem - Lazio Roma
SS Lazio Roma (Handicap 0-2)
1.10
 
Everton alikuwa na odds za kutosha sidhani kama kuna aliyemfuata kijana lookman amepiga magoal safi sana
mpira haujaisha ila nilimfuata sema ac Milan sasa duh sijui hata kwann nilimweka labda miujiza itokee
 
Mkuu naona Dynamo Kiev anatafuta sifa huko ... ana dalili za kukuharibia mambo.
Kwa watu waliosoma hesabu hapa wanaweka hivi

MKEKA is approximately to zero..kwamba MKEKA unakaribia kuchanika...Ila Ngoja tuone
 
Back
Top Bottom