shebydough
JF-Expert Member
- Jun 9, 2016
- 731
- 524
More tipser they did win yesterday let's check 2day nyota zao
KAMA ULIiZIACHA KESHO NAYO SIKU ANGALIA MATOKEOO
1))COMBO
2)).....View attachment 645636 View attachment 645637 View attachment 645638 View attachment 645639 View attachment 645636 View attachment 645637 View attachment 645638 View attachment 645639
kila kazi inachangamoto zake ila kwangu ina faida zaidi ya hasara japo ninachopata ni kidogo, aliyekula kala hata kama ameonjamkuu utashangaa FT 0:0, kanji siyo mtu mzuri mkuu wngu. Mimi hapa nilipo karibia option zote nimezijaribu lakini natoka debe tupu, kuna hii option ya " kuanzia dk 1 hadi dk 10 goal litapatikana? ukiweka x unajikuta dk ya pili tu nyavuuu!
MI KWANGU NAONAGA JACKPOT KUNA UHUNI FLANI HIV MARA NYINGI KWA MFANO UKAKOSA TIMU MOJA UNAAAMBIWA MPO WENGI UNAPEWA MGAO WA 5000 MARA NYINGI HII INANITOKEA NIKAAMUA KUACHANA NAZO
mkuu Naona Safi Umefanikiwa"Mission Impossible"
Kanji hafai ila ipo siku tyalichonifanya kanji kama mtu una roho nyepesi unaweza jinyonga walaaah nimetafuta odds mbili jana kwa option ya no redcard baada ya kuona juzi akukuwa na kad hata moja kwnye uefa jana metch tatu zikatoa redcard pesa yote kwishney
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Uki-stake jero unabutua kilaini tu.
Sasa jaribu kuweka hela ya umeme mliyochangishana wapangaji wote uone maajabu ya KANJI
Kweli hapo lazima upimwe mkojo bila kupenda.[emoji23] Hapo itokee umeipa timu DW kisha dakika ya 90 anapigwa utaenda kupima HIV bila kupenda.
Yeah, ni bora ukacheza ten,ten Mkuu kila mkeka bila kurudia timu. Cheza tu 1.5 odds, nafikiri itapendeza zaidiWaoga tutakufa maskini. What if ningekuwa nastake kwa 10k kila quater?![]()
Nakubaliana na wewebest kimbilio kwangu mimi kwa sasa ni HT over 0.5
katika hii option epukana na tamaa ya kuweka timu nyingi
tafuta odds 3 mpk 5 tia mpunga subiria makorokocho
game onNakubaliana na wewe