Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kemuona tu Lukas vasquez kaanza kwny game ya madrid.

Nkajua hapa cross zitapigwa za kufa mtu.

Nkajilipua buku 20 fasta nkatia stake ya over 4.5 corners. Odd 1.4
Afu Nkamjazia na man city 1st half double chance. Odd 1.32

KILICHOKUJA KUTOKEA BAADA Y HAPO.
Dah! Inauma sana
 
Daah, hii kazi lazima ulale fofo. Ninatafuta odds 1.5 tu, lakini bado sijapata. Ila naona kama zinaweza kutoka hapa:-

1. Slavia Plague v Fc Astana, ov1.5 (1.14) / 1X (1.25).

2. Villarreal v Tel Aviv, ov1.5 (1.22) / 1X (1.18).

3. Marseille v Salzburg, ov1.5 (1.25) / 1X (1.14).


Hapo vip wadau...
 
Leo over 2.5 haitotoka Kama ilvokua jana.

Trust me.

Hizo timu zenywe ulzowekea kwny ligi zao husika scoring imekua majanga.

Sembuse kwny yuropa hii yenye kashkashi kibao.

At least ungeweka over 1.5
Perfect marking
 
65e8aede71cb8372b710c3d4b7da02a7.jpg

Thank me later
 
Hapo kuna euro league,italy A2 east pam9ja na euro ya wanawake.stake weka ya kutosha.
20171207_194750.png
 
Siku ya leo tunaweza shuhudia Matokeo ya ajabu sn kwny Europa.

Kua makini na timu zilizokwisha fuzu
 
Back
Top Bottom