2jabway
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 1,257
- 1,398
Acha tu mkuu mioyo imekuwa sugu nilikufuata jna ila ndo hvyo mhindi kapendelewa zaidi[emoji3] [emoji3]"Mission Impossible"
Acha tu mkuu mioyo imekuwa sugu nilikufuata jna ila ndo hvyo mhindi kapendelewa zaidi[emoji3] [emoji3]"Mission Impossible"
Mkuu iyo Mikeka jamaa aliituma yote kabla ya game ni vile huwa watu hawasomitunaomba muwe mnatuma humu mapema mkuu ili nasisi wengine tuwe tunaokoteza kidogo kiogo
Hakuna Namna nyingine inabidi ukichinja ukubali na pia ukichinjwa ukubali pia.Acha tu mkuu mioyo imekuwa sugu nilikufuata jna ila ndo hvyo mhindi kapendelewa zaidi[emoji3] [emoji3]
Raphael Wa ureno naomba namba za primier Huduma kwa watejaHakuna Namna nyingine inabidi ukichinja ukubali na pia ukichinjwa ukubali pia.
"Mission Impossible"
Usjali mkuu shukrani sana kwangu imekuwa ngumu.duuh Mkuu, mimi nakushukuru maana niliuedit kdg ule mkeka kwa kumpa ushindi Madrid, na mechi moja ya IceHockey niliwapa Over 5.5 badala ya Over 4.5 .. na pia nikaweka mechi moja ya Wachina jana mchana, leo nimelogin kwa account nakutana na 79K ...
View attachment 645697
Inaonekana IceHockey km mnavyosema it's a real DEAL. Ngoja nianze kuifuatilia ... huenda tunakomaa na Football tunaacha hela huku.
Uki-stake jero unabutua kilaini tu.
mkuu utashangaa FT 0:0, kanji siyo mtu mzuri mkuu wngu. Mimi hapa nilipo karibia option zote nimezijaribu lakini natoka debe tupu, kuna hii option ya " kuanzia dk 1 hadi dk 10 goal litapatikana? ukiweka x unajikuta dk ya pili tu nyavuuu!best kimbilio kwangu mimi kwa sasa ni HT over 0.5
katika hii option epukana na tamaa ya kuweka timu nyingi
tafuta odds 3 mpk 5 tia mpunga subiria makorokocho
Shukrani sana Mr Ferrenga, hiyo kitu ilinisumbua sanaTimu inapewa goli la kusadikika,alafu wewe inatabiri matokeo yatakuwaje mwishoni.
Mfano
Arsenal Vs Man u(+1)
hapa man u kapewa goli moja
Kama mpira utaisha 0-0,man u atakuwa ameshinda....kama mpira utaisha 1-0,man u watakuwa wamedraw..
Unafwata hesabu kama hizo..
Mi mwenyewe naitafuta mkuu.Msaada tafadhari kwa aliye na app nzuri na makini ya live bets