Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Sawa nimekupata mpaka hapo.
 
Leo hivi ...

===
Sheffield United - Bristol City
Over 1.5 goals
1.30
X

Granada CF - UD Almeria
Over 1.5 goals
1.33
X

Stade Brest - FC Bourg Peronnas
Over 1.5 goals
1.20
X

Spezia Calcio - Foggia Calcio
1/X
1.25
X


Odds: 2.59
===
 
Mkuu demigod nimekucheki inbox VIP nataka kokolo LA under 5.5 kwa premier niweke timu kama ngap???na odds s zinaanzia 1.06[emoji1] [emoji1]


Chambua kila timu unayotaka kuijumuisha kwenye mkeka. kwa kawaida zingatia H2H tano zilizopita kusiwe na over 4.5 hata moja, then hiyo game ijumuishe mkekani.

Fanya uchambuzi wa mechi, haijalishi idadi. ukipata 10 za uhakika sawa, ukipata 39 sawa. Ili mradi uwe umezifanyia upembuzi yakinifu ili kuminimize hasara.
 
Unapenda kubeti huna hela...unawaza unajiona mnyonge aaah mzee acha kuwaza mchongo huu hapa follow link chini hapa ..ujipatie bonus ya 2000ubetie siku ya leo
Ni hela yao ushofu kupoteza
Link
pmbet.co.tz/auth/signup/5791
 
ukiwa unadeposit pesa princess kumbukumbu namba, ukiweka neno princess ni sahihi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…