Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

MSEME AMJAZIONA KESHOO
Screenshot_20171208-193217.png
Screenshot_20171208-193207.png
Screenshot_20171208-193153.png
Screenshot_20171208-193124.png
Screenshot_20171208-193056.png
 
Wakuu nimekuja kugundua kuwa kubet kumbe no sawa na mchezo was vikoba unavyoliwa ndio kuwekeza huko amini IPO cku kaji atazirudisha hela zako zote na faida juu mm kesho nitatuma ushuhuda wangu jamaa kanirudishia pesa tote toka nimeanza kubet. Week nzima mm naimba tu nyimbo ya JOEL.... SITOBAKI KAMA NILIVYO
[emoji23][emoji23]
 
Nasubiri nisikie kudiposit na kuwithdraw wako faster kama mkeka au ndiyo yale ya premier
 
Vip kuhusu kukatwa kodi na hawa playmaster?
Wanakata kodi mkuu,ila nimependa urahisi wake tu,

Kuna option ya express betting ambayo unaletewa list ya timu zote zinazocheza baada ya masaa 3,6,12,1 day (u choose it) then unachagua option unayotaka mf.over/under basi timu zoote zinakuja list ya over/under zake.hivo kurahisisha uchaguzi kuliko kuibonyeza kila timu ifunguke.
 
Back
Top Bottom